General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,190
- 2,508
Programming aisee. Hii kitu ukiwa unajua sio kujua vitu juu juu pesa ni nje nje. Mpaka leo sielewi developers wanaosema hawana kazi unless kama wanajua vitu juu juu na hawana cha kumwonyesha mteja.Wakubwa poleni na majukumu mbalimbali...hata wale mashabiki wezangu poleni pia.
Niende direct kwenye uhitaji wa msaada wangu...
Nimekuwa mfuatiliaji na mtafutaji wa haya maisha yetu.
1. Nina shida ya kujua ni taaluma gani hapa Tanzania ukiamua kuweka nguvu kubwa itaweza kukulipa bila kujali uhitajio wa gharama gani kutumia kufikia kuwa expart wa hiyo taaluma.
eg Graphic designer,Programing, and etc
2.Mentors wengi walio fanikiwa ntawapata wapi wa hizo taaluma ambazo zina waweka mjini.
3.What is the energy fuel can resolve this my problem.
4.And last what is the business correspond with this skills which can pay me full.
Mi ntakupa easy business skills unayohitaji ili uwin...Wakubwa poleni na majukumu mbalimbali...hata wale mashabiki wezangu poleni pia.
Niende direct kwenye uhitaji wa msaada wangu...
Nimekuwa mfuatiliaji na mtafutaji wa haya maisha yetu.
1. Nina shida ya kujua ni taaluma gani hapa Tanzania ukiamua kuweka nguvu kubwa itaweza kukulipa bila kujali uhitajio wa gharama gani kutumia kufikia kuwa expart wa hiyo taaluma.
eg Graphic designer,Programing, and etc
2.Mentors wengi walio fanikiwa ntawapata wapi wa hizo taaluma ambazo zina waweka mjini.
3.What is the energy fuel can resolve this my problem.
4.And last what is the business correspond with this skills which can pay me full.
Sio kwa Bongo hiiProgramming aisee. Hii kitu ukiwa unajua sio kujua vitu juu juu pesa ni nje nje. Mpaka leo sielewi developers wanaosema hawana kazi unless kama wanajua vitu juu juu na hawana cha kumwonyesha mteja.
Tena imezikwa na kufukiwa kabisa..Sio kwa Bongo hii
Unaongea kirahisi kwa sababu hauko kwenye ulingo wa kusaka ajira au deals ,
Bongo hii nchi ni mfu
Sio naongea kirahisi kwa sababu siko kwenye ulingo wa kusaka ajira, naongea kwa experience mkuu mimi nina zaidi ya miaka kumi sijawahi kuajiriwa toka nimalize chuo mkuu. Ndio game ngumu but kuna fursa kibao kwa watu ambao wanajua kweli sio wanaojuajua.Sio kwa Bongo hii
Unaongea kirahisi kwa sababu hauko kwenye ulingo wa kusaka ajira au deals ,
Bongo hii nchi ni mfu
"The talk is cheap "Sio naongea kirahisi kwa sababu siko kwenye ulingo wa kusaka ajira, naongea kwa experience mkuu mimi nina zaidi ya miaka kumi sijawahi kuajiriwa toka nimalize chuo mkuu. Ndio game ngumu but kuna fursa kibao kwa watu ambao wanajua kweli sio wanaojuajua.
Wewe kama huamini sina sababu ya kukuaminisha"The talk is cheap "
"The walk is expensive"