JamiiForums
JF Official Account
- Nov 9, 2006
- 6,229
- 5,285
Interested customers:
We are ready to deliver at their doors especially for those in Dar, Mwanza and Arusha. The minimum order for "Door-to-Door" delivery is one box (12 jars)
Welldone on packaging wakuu!
Welldone on packaging wakuu!
Sanjara: Hizi chupa zina uzito kiasi gani? Isijekuwa uzito wa chupa tupu ni sawa na asali yenyewe! Kuna tofauti yoyote kati ya asali ndani ya chupa yenye mfuniko wa blue na mwekundu? Mojawapo yaonekana kama nyeusi zaidi?
Kwa wanaoijua asali; hizi zinazouzwa mtaani mfano ujazo wa lita 1, ikikaribia kuisha inakuwa imeganda, hii ni sehemu ya asali au inakuwa ni kitu gani? Au ndo Made in China?
Hongera sana mjasiriamali, Nimefurahishwa sana na product na ubunifu wenu. Nitakutafuneni, for a door delivery. keep it up!
what is the retail price?
IS YOUR HONEY AVAILABLE IN SHOPS???
I LIKE YOUR PACKAGING.....
Welldone on packaging wakuu!
Kuna wezi wa nembo/trademarks ile mbaya,nawapongeza sana kwa kazi nzuri. Kuweni makini na udhibiti wa nembo msije mkaishia kuuza asali ya wenzenu.
Sanjara: Hizi chupa zina uzito kiasi gani? Isijekuwa uzito wa chupa tupu ni sawa na asali yenyewe! Kuna tofauti yoyote kati ya asali ndani ya chupa yenye mfuniko wa blue na mwekundu? Mojawapo yaonekana kama nyeusi zaidi?
Kwa wanaoijua asali; hizi zinazouzwa mtaani mfano ujazo wa lita 1, ikikaribia kuisha inakuwa imeganda, hii ni sehemu ya asali au inakuwa ni kitu gani? Au ndo Made in China?
Ndugu unge anzisha thread ya hii kitu.
Nameless-,
Hizi chupa hazichangii hata 3gm ya ujazo. Na tumezingatia Sheria ya Vifangashio na Lebo ya TFDA pamoja na zile Directives za TBS. Kwa kila chupa tumeweka ujazo wa ziada kama gramm tano.
Kuna tofauti kati ya asali ndani ya chupa yenye mfuniko wa blue na ile iliyo na mfuniko mwekundu. Mfuniko wa blue ni asali ya maua ya Miombo (ndiyo maana ni nyeusi) wakati ile ya mfuniko mwekundi ni Wild flowers (M'n'gamana) ndiyo maana ni nyeupe. Hizi ni Branding technics za kawaida ili mteja aweze kutofautisha kiurahisi kama ulivyong'amua haraka.
Asali ya M'n'gamana kama alivyosema semilong inawahi kuganda. Unaruhusiwa kuuliza zaidi.
Dear semilong,
sanjarahoneytz@gmail.com
Remember one thing, when you buy from the shop, the price might be higher to that indicated by Tshs 700-900. This is to cover their operation cost plus profit margin.
hongereni Sanjara,
vipi mmeshafikiri kuwa na website yenu.....ili kuitangaza product yenu kila kona ya dunia hii ya leo.......
I will remember, but other customers will be confused....
Agree with them the retail price na uhakikishe bei ya kwenye lebo ndio hiyo inayouzwa au usiweke bei kwenye lebo ya bei kabisa waacha wenye maduka waweke sticker zao za bei...
haya ni mawazo tu SH....
keep it up
Mkuu SH,
Safi sana kwa kuchukua hatua na kufanya jambo la maana namna hii. Siku zote nawaheshimu watu wanaofanya mambo yakaonekan na siyo kulalamika au kuwa na njozi za kusadikika. Nafagilia sana ujasiri na ubunifu wako, na nitakuwa mmoja wapo wa wateja wa bidhaa zako. Ombi langu kwako ni kuwa mjitahidi kutuuzia asali na siyo kanyabwoya ya Karikakoo/Kongo kwani watanzania tumezoea sana kila kitu kufanyika ki-Bongo Darisalam! Kila la heri na kaza buti!