Mi nilikuwa najaribu tu lakini baada ya kuangalia vilivyomo ndani kweli nimekubali jamii forum ni ya jamii na sibanduki naomba mnipokee kwa mikono miwili
Karibu JF mkuu, ama baada ya ukaribisho...
Nakuomba ubonyeze hapo chini kwenye maandishi ya bluu halafu mpigie kura dada mrembo wa JF anayeitwa charminglady...natanguliza shukrani INGIA HAPA KUPIGA KURA