High!!!!!!!!!!!!!!!!

High!!!!!!!!!!!!!!!!

adeni kyomo

Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
34
Reaction score
7
Mi nilikuwa najaribu tu lakini baada ya kuangalia vilivyomo ndani kweli nimekubali jamii forum ni ya jamii na sibanduki naomba mnipokee kwa mikono miwili
 
Ukisalimia high tunajibu low? Karibu mwaya, jisikie uko sebuleni kwako.
 
Karibu JF mkuu, ama baada ya ukaribisho...
Nakuomba ubonyeze hapo chini kwenye maandishi ya bluu halafu mpigie kura dada mrembo wa JF anayeitwa charminglady...natanguliza shukrani
INGIA HAPA KUPIGA KURA

Mi nilikuwa najaribu tu lakini baada ya kuangalia vilivyomo ndani kweli nimekubali jamii forum ni ya jamii na sibanduki naomba mnipokee kwa mikono miwili
 
Back
Top Bottom