higher diploma vs advanced diploma

higher diploma vs advanced diploma

mwezeshaji

Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
76
Reaction score
20
Wadau naomba msaada wenu wa kujua tofauti kati ya higher diploma na advance diploma maana hapo awali sikuwahi kusikia kitu kinaitwa higher diploma hapa Tanzania bali advance diploma.

Natanguliza shukran wakuu
 
zote ni diploma tuu,higher na advaced hayo ni mavazi tuu, the are not,and they will never be equivalent to degree in any respect
 
Ipo tofauti kubwa kabisa.Advance diploma ni course ambayo ilikuwa inatolewa kwenye bathi ya college na institutions mbalimbali ikiwa ni equivalent ya degree kabisa ambayo ukifaulu vizuri unaweza kwenda masters bila matatizo,SEMISTER ZIPO 6 likewise kwenye degree.na hata ukiangalia wahasibu wengi wa hazina na baathi kwenye wizara nyingine wengi wamesoma ADA na hata kazi zinazotangazwa utaona wanaandika adv dipl/degree.
Turudi kwenye Higher Diploma,kwa uelewa wanngu na nikilinganisha na baadhi ya mifumo ya elimu za kimataifa,ni elimu inayotolewa baada ya diploma pale mtu akishamaliza ordinary diploma yako unaweza soma higher diploma ambayo ni mwaka mmoja then degree mwaka mmoja kama kumalizia,ila ni mfumo tofauti na tuliozoea.ambayo mimi nahisi ni mfumo mzuri,kuliko mtu kusoma certificate labda ya accounts masomo yaleyale ya first year atayarudia diploma,akifika degree for almost two years atasoma yaleyale,mwaka wa mwisho ndo atasoma vitu vya undani kidogo,labda ubadilishe fani kwa kila stage!
 
Pata like kiongozi
 
zote ni diploma tuu,higher na advaced hayo ni mavazi tuu, the are not,and they will never be equivalent to degree in any respect
That is not part of the question. Watu wengi huwa wanafeli kwa sababu ya kujibu maswali ambayo hawakuulizwa, halafu matokeo yakitoka wanaandamana!
 
inaonekana mkuu hujui tofauti ya equivalent na equal ukishajua hilo ungetoa ushauri wako sasa....
higher diploma inatolewa ukimaliza NTA level 7 na kufaulu vizuri hii advance diploma wanaitreat kama NTA level 8 ambayo ni inafanania digrii..
 
Nimefeli mtihani kwa makusudi mkuu kwani Mkuu wa Kaya alitufundisha za kuambiwa changanya na zako
 
Ipo tofauti kubwa kabisa.Advance diploma ni course ambayo ilikuwa inatolewa kwenye bathi ya college na institutions mbalimbali ikiwa ni equivalent ya degree kabisa ambayo ukifaulu vizuri unaweza kwenda masters bila matatizo,SEMISTER ZIPO 6 likewise kwenye degree.na hata ukiangalia wahasibu wengi wa hazina na baathi kwenye wizara nyingine wengi wamesoma ADA na hata kazi zinazotangazwa utaona wanaandika adv dipl/degree.
Turudi kwenye Higher Diploma,kwa uelewa wanngu na nikilinganisha na baadhi ya mifumo ya elimu za kimataifa,ni elimu inayotolewa baada ya diploma pale mtu akishamaliza ordinary diploma yako unaweza soma higher diploma ambayo ni mwaka mmoja then degree mwaka mmoja kama kumalizia,ila ni mfumo tofauti na tuliozoea.ambayo mimi nahisi ni mfumo mzuri,kuliko mtu kusoma certificate labda ya accounts masomo yaleyale ya first year atayarudia diploma,akifika degree for almost two years atasoma yaleyale,mwaka wa mwisho ndo atasoma vitu vya undani kidogo,labda ubadilishe fani kwa kila stage!

Pata gwala ndugu!!
 
thanx mkuu kwa maelezo yko
 
inaonekana mkuu hujui tofauti ya equivalent na equal ukishajua hilo ungetoa ushauri wako sasa....
higher diploma inatolewa ukimaliza NTA level 7 na kufaulu vizuri hii advance diploma wanaitreat kama NTA level 8 ambayo ni inafanania digrii..
nmekuelewa sana mkuu,,,ukiacha kujiajiri baada ya kumaliza hyo nta level 7,,je kwenye job industries wanaitambua hyo higher diploma
 
inategemea na hapo unaenda kuomba ajira yako kwani baadae unaweza kwenda kumalizia digrii yako kama una taka kumalizia digrii..
 
That is not part of the question. Watu wengi huwa wanafeli kwa sababu ya kujibu maswali ambayo hawakuulizwa, halafu matokeo yakitoka wanaandamana!
Kama huyu ambaye anajidai na degree
 
That is not part of the question. Watu wengi huwa wanafeli kwa sababu ya kujibu maswali ambayo hawakuulizwa, halafu matokeo yakitoka wanaandamana!

una utani na watu wewe! utakatwa kichwa mtu aione pepo kwa gharama yako! lakini jamaa kanikera badala ajibu anajidai kuponda! sina cha kuongeza kuhusu adv. diploma lakini kwa higher diploma unaqualify kuwa nayo baada ya miaka miwili ya kusomea digree (kwa digree ya miaka mitatu) Huu ni mfumo wa NACTE, Na baadae ukitaka katika muda wowote unaweza ukamalizia mwaka mmoja na kupewa digree ya kwanza. kwa hiyo adv.dip ina hadhi kuliko higher diploma.
 
NTA level 7 ni higher diploma huipata mtu endapo anashindwa kupata NTA level 8, na ili afanye masters mtu wa hivi itabidi afanye PGD kwanza then ataendelea. Na hii ipo sawa na Advanced Diploma mkuu, ivi sasa wameiondoa Advanced Diploma na imebaki hii Higher Diploma, ila hutolewa kwa yule mtu ambae ameshindwa kupasi katika NTA level 8
 
Babu hayo ni madaraja ya kuelekea ngazi fulani.mfano mtu aliyesoma underground degree na kupata G.P.A za chini basi yamlazimu kusoma post graduade diploma.Au mtu anayetaka kusoma masters ya kozi tofauti na aliyoisoma kwenye bachelour pia husoma kwa za post graduate diploma.Hizi diploma zenye rangi mbalimbali kama ulivyokiri mwenyewe .mimi bado nitamshauri mtu mwenye sifa za moja kwa moja asome kitu kinachoeleweka kama degree aipige moja kwa moja
 
NTA level 7 ni higher diploma huipata mtu endapo anashindwa kupata NTA level 8, na ili afanye masters mtu wa hivi itabidi afanye PGD kwanza then ataendelea. Na hii ipo sawa na Advanced Diploma mkuu, ivi sasa wameiondoa Advanced Diploma na imebaki hii Higher Diploma, ila hutolewa kwa yule mtu ambae ameshindwa kupasi katika NTA level 8
mkuu manoah ina maana mtu mwenye higher diploma anaweza kusoma postgraduate diploma bila kumalizia bachelor degree
 
Back
Top Bottom