mwezeshaji
Member
- Mar 27, 2013
- 76
- 20
Pata like kiongoziIpo tofauti kubwa kabisa.Advance diploma ni course ambayo ilikuwa inatolewa kwenye bathi ya college na institutions mbalimbali ikiwa ni equivalent ya degree kabisa ambayo ukifaulu vizuri unaweza kwenda masters bila matatizo,SEMISTER ZIPO 6 likewise kwenye degree.na hata ukiangalia wahasibu wengi wa hazina na baathi kwenye wizara nyingine wengi wamesoma ADA na hata kazi zinazotangazwa utaona wanaandika adv dipl/degree.
Turudi kwenye Higher Diploma,kwa uelewa wanngu na nikilinganisha na baadhi ya mifumo ya elimu za kimataifa,ni elimu inayotolewa baada ya diploma pale mtu akishamaliza ordinary diploma yako unaweza soma higher diploma ambayo ni mwaka mmoja then degree mwaka mmoja kama kumalizia,ila ni mfumo tofauti na tuliozoea.ambayo mimi nahisi ni mfumo mzuri,kuliko mtu kusoma certificate labda ya accounts masomo yaleyale ya first year atayarudia diploma,akifika degree for almost two years atasoma yaleyale,mwaka wa mwisho ndo atasoma vitu vya undani kidogo,labda ubadilishe fani kwa kila stage!
That is not part of the question. Watu wengi huwa wanafeli kwa sababu ya kujibu maswali ambayo hawakuulizwa, halafu matokeo yakitoka wanaandamana!zote ni diploma tuu,higher na advaced hayo ni mavazi tuu, the are not,and they will never be equivalent to degree in any respect
zote ni diploma tuu,higher na advaced hayo ni mavazi tuu, the are not,and they will never be equivalent to degree in any respect
Nimefeli mtihani kwa makusudi mkuu kwani Mkuu wa Kaya alitufundisha za kuambiwa changanya na zakoThat is not part of the question. Watu wengi huwa wanafeli kwa sababu ya kujibu maswali ambayo hawakuulizwa, halafu matokeo yakitoka wanaandamana!
Ipo tofauti kubwa kabisa.Advance diploma ni course ambayo ilikuwa inatolewa kwenye bathi ya college na institutions mbalimbali ikiwa ni equivalent ya degree kabisa ambayo ukifaulu vizuri unaweza kwenda masters bila matatizo,SEMISTER ZIPO 6 likewise kwenye degree.na hata ukiangalia wahasibu wengi wa hazina na baathi kwenye wizara nyingine wengi wamesoma ADA na hata kazi zinazotangazwa utaona wanaandika adv dipl/degree.
Turudi kwenye Higher Diploma,kwa uelewa wanngu na nikilinganisha na baadhi ya mifumo ya elimu za kimataifa,ni elimu inayotolewa baada ya diploma pale mtu akishamaliza ordinary diploma yako unaweza soma higher diploma ambayo ni mwaka mmoja then degree mwaka mmoja kama kumalizia,ila ni mfumo tofauti na tuliozoea.ambayo mimi nahisi ni mfumo mzuri,kuliko mtu kusoma certificate labda ya accounts masomo yaleyale ya first year atayarudia diploma,akifika degree for almost two years atasoma yaleyale,mwaka wa mwisho ndo atasoma vitu vya undani kidogo,labda ubadilishe fani kwa kila stage!
Ipo tofauti kubwa kabisa.Advance diploma ni course ambayo ilikuwa inatolewa kwenye bathi ya college na institutions mbalimbali ikiwa ni equivalent ya degree kabisa ambayo ukifaulu vizuri unaweza kwenda masters bila matatizo,SEMISTER ZIPO 6 likewise kwenye degree.na hata ukiangalia wahasibu wengi wa hazina na baathi kwenye wizara nyingine wengi wamesoma ADA na hata kazi zinazotangazwa utaona wanaandika adv dipl/degree.
Turudi kwenye Higher Diploma,kwa uelewa wanngu na nikilinganisha na baadhi ya mifumo ya elimu za kimataifa,ni elimu inayotolewa baada ya diploma pale mtu akishamaliza ordinary diploma yako unaweza soma higher diploma ambayo ni mwaka mmoja then degree mwaka mmoja kama kumalizia,ila ni mfumo tofauti na tuliozoea.ambayo mimi nahisi ni mfumo mzuri,kuliko mtu kusoma certificate labda ya accounts masomo yaleyale ya first year atayarudia diploma,akifika degree for almost two years atasoma yaleyale,mwaka wa mwisho ndo atasoma vitu vya undani kidogo,labda ubadilishe fani kwa kila stage!
nmekuelewa sana mkuu,,,ukiacha kujiajiri baada ya kumaliza hyo nta level 7,,je kwenye job industries wanaitambua hyo higher diplomainaonekana mkuu hujui tofauti ya equivalent na equal ukishajua hilo ungetoa ushauri wako sasa....
higher diploma inatolewa ukimaliza NTA level 7 na kufaulu vizuri hii advance diploma wanaitreat kama NTA level 8 ambayo ni inafanania digrii..
nmekuelewa sana mkuu,,,ukiacha kujiajiri baada ya kumaliza hyo nta level 7,,je kwenye job industries wanaitambua hyo higher diploma
Kama huyu ambaye anajidai na degreeThat is not part of the question. Watu wengi huwa wanafeli kwa sababu ya kujibu maswali ambayo hawakuulizwa, halafu matokeo yakitoka wanaandamana!
That is not part of the question. Watu wengi huwa wanafeli kwa sababu ya kujibu maswali ambayo hawakuulizwa, halafu matokeo yakitoka wanaandamana!
inategemea na hapo unaenda kuomba ajira yako kwani baadae unaweza kwenda kumalizia digrii yako kama una taka kumalizia digrii..
zote ni diploma tuu,higher na advaced hayo ni mavazi tuu, the are not,and they will never be equivalent to degree in any respect
Babu hayo ni madaraja ya kuelekea ngazi fulani.mfano mtu aliyesoma underground degree na kupata G.P.A za chini basi yamlazimu kusoma post graduade diploma.Au mtu anayetaka kusoma masters ya kozi tofauti na aliyoisoma kwenye bachelour pia husoma kwa za post graduate diploma.Hizi diploma zenye rangi mbalimbali kama ulivyokiri mwenyewe .mimi bado nitamshauri mtu mwenye sifa za moja kwa moja asome kitu kinachoeleweka kama degree aipige moja kwa mojaNTA level 7 ni higher diploma huipata mtu endapo anashindwa kupata NTA level 8, na ili afanye masters mtu wa hivi itabidi afanye PGD kwanza then ataendelea. Na hii ipo sawa na Advanced Diploma mkuu, ivi sasa wameiondoa Advanced Diploma na imebaki hii Higher Diploma, ila hutolewa kwa yule mtu ambae ameshindwa kupasi katika NTA level 8
mkuu manoah ina maana mtu mwenye higher diploma anaweza kusoma postgraduate diploma bila kumalizia bachelor degreeNTA level 7 ni higher diploma huipata mtu endapo anashindwa kupata NTA level 8, na ili afanye masters mtu wa hivi itabidi afanye PGD kwanza then ataendelea. Na hii ipo sawa na Advanced Diploma mkuu, ivi sasa wameiondoa Advanced Diploma na imebaki hii Higher Diploma, ila hutolewa kwa yule mtu ambae ameshindwa kupasi katika NTA level 8
mkuu manoah ina maana mtu mwenye higher diploma anaweza kusoma postgraduate diploma bila kumalizia bachelor degree