Washikadau/Watangazania/Wadau wa Mambo ya elimu msaada tafadhali:
Kuna dogo amemaliza Advance Diploma in Journalism, Je ataweza kusoma ngazi gani inayofuata ? Wafuatao walikuwa na mtazamo tofauti mf:
-Advance Diploma unaweza kusoma Post Graduate baadae Master
-Advance diploma ukimaliza unasoma post graduate mwaka 1 kisha unasoma Master
Sasa basi ipi ya kweli,
Karibuni wote natanguliza shukrani kwako