Higher/ Diploma ya Journalism, anaweza kusoma ngazi gani inayofuata?

Higher/ Diploma ya Journalism, anaweza kusoma ngazi gani inayofuata?

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
726
Reaction score
476
Washikadau/Watangazania/Wadau wa Mambo ya elimu msaada tafadhali:
Kuna dogo amemaliza Advance Diploma in Journalism, Je ataweza kusoma ngazi gani inayofuata ? Wafuatao walikuwa na mtazamo tofauti mf:
-Advance Diploma unaweza kusoma Post Graduate baadae Master
-Advance diploma ukimaliza unasoma post graduate mwaka 1 kisha unasoma Master
Sasa basi ipi ya kweli,

Karibuni wote natanguliza shukrani kwako
 
Back
Top Bottom