Mwaka huu wengi hawajapangiwa mkopo na hata boom zimepunguzwa, nilikua nakubali hii serikali ya awamu ya sita ila kwa hili nina uhakika hawatoshinda Uchaguzi labda wafanya udanganyifu

Acha tu wanafunzi wanateseka sana, Kuna 1 ametoka familia yenye Hali duni amepewa mkopo wa 530,000 tu ,Hana chochote,imebidi tuombe michango Kwa watu Ili aweze kusajiliwa chuoni Yani mpk inaumiza sana. Bodi Hili waliangalie sana.