Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisa wewe kunyimwa boom? 😂😂Mwaka huu wengi hawajapangiwa mkopo na hata boom zimepunguzwa, nilikua nakubali hii serikali ya awamu ya sita ila kwa hili nina uhakika hawatoshinda Uchaguzi labda wafanya udanganyifu
Bora hata huyo ana mkopo wengine hali duni na hawajapata.Acha tu wanafunzi wanateseka sana, Kuna 1 ametoka familia yenye Hali duni amepewa mkopo wa 530,000 tu ,Hana chochote,imebidi tuombe michango Kwa watu Ili aweze kusajiliwa chuoni Yani mpk inaumiza sana. Bodi Hili waliangalie sana.