Zigi Rizla
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 1,064
- 1,107
- Thread starter
-
- #21
Private security companies zimejaa Kenya. Na hao sio matajiri unavyofikiria. Kuna mabillionaire ambao ndio wanamiliki hizo kampuni ambazo CEO wanafanyia kazi na kama wao wako salama huku Kenya, pia CEO watakua salamu tu.Wahuni huni wa mjini wanawacheki tu
Kuna jamaa hapo juu anataka kuwatenganisha hawa CEO kikabila lakini sisi tunajua wao wote ni Wakenya wazawa. Pia hizo company zote 7/10 ni za wakenya. Absa, Eabl na Britam ndio sio za wakenya.No single white person, no single Indian or Arab, no single foreigner on the whole list. Wangekua wenzetu kusini hungeona Jina la Mwafrika mzawa hata mmoja. Na bado watakuambia eti Kenya tumetawaliwa na foreigners na wao wako huru.
joto la jiwe game over tuusan Chamoto
EABL na Britam majority shares ni za WakenyaKuna jamaa hapo juu anataka kuwatenganisha hawa CEO kikabila lakini sisi tunajua wao wote ni Wakenya wazawa. Pia hizo company zote 7/10 ni za wakenya. Absa, Eabl na Britam ndio sio za wakenya.
Ingekuwa CEO waTZ list itajaa wahindi na WazunguWakenya hao. Wazawa wote.
Dah sijui tunakwama wapiIngekuwa CEO waTZ list itajaa wahindi na Wazungu
Harafu Tanzania Rais wa nchi anatakwa aslipww hata million 100 kwa mwwzi31.37M*20.58=652M tsh
Mkuu upo serious?analipwa sawa na milioni 600 za kitanzania kwa mwezi?
Nashangaa huyo wa safaricom kulipwa pesa hiyo, nilitegemea yeye angeongozaUnachoshangaa nini? Hiyo ni approx $284,000. Inawezekana kbs kama CEO anaiingizia kampuni millions of dollar per Month. Usikariri.
Hapo ukute huwa anaulumu kwamba mshahara hautoshi [emoji15]31.37M*20.58=652M tsh
Mkuu upo serious?analipwa sawa na milioni 600 za kitanzania kwa mwezi?
Mkuu cha kushangaza nini? Yes anaweza kulaumu maana employees tends to compare their inputs with their outputHapo ukute huwa anaulumu kwamba mshahara hautoshi [emoji15]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Alishasema ni 9.2 millionHarafu Tanzania Rais wa nchi anatakwa aslipww hata million 100 kwa mwwzi
Ksh 1.1M per day!!!!!!! Hiyo ni salary ya top CEOs in tz per month.
Mpo mbali sana wezetu
Watz si mtuwekee your highest paid CEO's, kuna jamaa alisema tx has highest paid ceos around
kawaiida yenu maneneno tupu bila facts....haya lete mishara ya walimu,madaktari,manesi,polisi etc tufanye comparisonOn average Tanzania inalipa vizuri wafanyakazi kuliko nchi zote za ukanda wa Africa mashariki.
Typical tanzanian lieOn average Tanzania inalipa vizuri wafanyakazi kuliko nchi zote za ukanda wa Africa mashariki.
Naona unaniwaza sana,Mm pia ni CEO Mahali fulani ila nalipwa hela kiduchu tu ta kubadili mbogaNo single white person, no single Indian or Arab, no single foreigner on the whole list. Wangekua wenzetu kusini hungeona Jina la Mwafrika mzawa hata mmoja. Na bado watakuambia eti Kenya tumetawaliwa na foreigners na wao wako huru.
joto la jiwe game over tuusan Chamoto
Dah sijui tunakwama wapi
usipende kukariri 👉👉You can’t have one well paid ceo na vibarua elfu 10 wanalipwa 7k kwa mwezi .
On average,
Tanzania ndio inalipa vizuri wafanyakazi kuliko nchi zote za ukanda wa Africa mashariki.