Highest-Paid CEOs (Mkurugenzi Mtendaji) in Kenya

Highest-Paid CEOs (Mkurugenzi Mtendaji) in Kenya

Wahuni huni wa mjini wanawacheki tu
Private security companies zimejaa Kenya. Na hao sio matajiri unavyofikiria. Kuna mabillionaire ambao ndio wanamiliki hizo kampuni ambazo CEO wanafanyia kazi na kama wao wako salama huku Kenya, pia CEO watakua salamu tu.
 
No single white person, no single Indian or Arab, no single foreigner on the whole list. Wangekua wenzetu kusini hungeona Jina la Mwafrika mzawa hata mmoja. Na bado watakuambia eti Kenya tumetawaliwa na foreigners na wao wako huru.

joto la jiwe game over tuusan Chamoto
Kuna jamaa hapo juu anataka kuwatenganisha hawa CEO kikabila lakini sisi tunajua wao wote ni Wakenya wazawa. Pia hizo company zote 7/10 ni za wakenya. Absa, Eabl na Britam ndio sio za wakenya.
 
Watz si mtuwekee your highest paid CEO's, kuna jamaa alisema tx has highest paid ceos around
 
Unachoshangaa nini? Hiyo ni approx $284,000. Inawezekana kbs kama CEO anaiingizia kampuni millions of dollar per Month. Usikariri.
Nashangaa huyo wa safaricom kulipwa pesa hiyo, nilitegemea yeye angeongoza
 
Ksh 1.1M per day!!!!!!! Hiyo ni salary ya top CEOs in tz per month.
Mpo mbali sana wezetu

You can’t have one well paid ceo na vibarua elfu 10 wanalipwa 7k kwa mwezi .
On average,
Tanzania ndio inalipa vizuri wafanyakazi kuliko nchi zote za ukanda wa Africa mashariki.
 
Watz si mtuwekee your highest paid CEO's, kuna jamaa alisema tx has highest paid ceos around

On average Tanzania inalipa vizuri wafanyakazi kuliko nchi zote za ukanda wa Africa mashariki.
 
On average Tanzania inalipa vizuri wafanyakazi kuliko nchi zote za ukanda wa Africa mashariki.
kawaiida yenu maneneno tupu bila facts....haya lete mishara ya walimu,madaktari,manesi,polisi etc tufanye comparison
 
No single white person, no single Indian or Arab, no single foreigner on the whole list. Wangekua wenzetu kusini hungeona Jina la Mwafrika mzawa hata mmoja. Na bado watakuambia eti Kenya tumetawaliwa na foreigners na wao wako huru.

joto la jiwe game over tuusan Chamoto
Naona unaniwaza sana,Mm pia ni CEO Mahali fulani ila nalipwa hela kiduchu tu ta kubadili mboga
 
Halafu utasikia mtu anasema eti hakuna aliyewahi Kutajirika kupitia ajira
 
You can’t have one well paid ceo na vibarua elfu 10 wanalipwa 7k kwa mwezi .
On average,
Tanzania ndio inalipa vizuri wafanyakazi kuliko nchi zote za ukanda wa Africa mashariki.
usipende kukariri 👉👉
1636810285996.png

hali ni tete mtaani
 
Back
Top Bottom