Highest-Paid CEOs (Mkurugenzi Mtendaji) in Kenya

Highest-Paid CEOs (Mkurugenzi Mtendaji) in Kenya

Zigi Rizla

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
1,064
Reaction score
1,107
Top 10 highest paid CEOs in Kenya and their salaries.png
 
31.37M*20.58=652M tsh

Mkuu upo serious?analipwa sawa na milioni 600 za kitanzania kwa mwezi?
Ndio mkuu. CEO wa cooperative bank analipwa takriban 1.1million pesa za Kenya kila siku ya wiki including jumapili.
Huyo Muriuki na wote walio hapo kwa orodha wanalipwa pesa nyingi sababu ya faida ambazo wanatengenezea wamiliki hisa (shareholders) ambao ndio wamiliki kampuni.
Mfano ni Equity Bank ambayo imepata faida ya ksh 36 billion mwakani kufikia August 2021. Kwa hiyo kulipa James Mwangi 5m kwa mwezi sio shida kwa equity.
Screenshot_20211108-122841.jpg
 
Ndio mkuu. CEO wa cooperative bank analipwa takriban 1.1million pesa za Kenya kila siku ya wiki including jumapili.
Huyo Muriuki na wote walio hapo kwa orodha wanalipwa pesa nyingi sababu ya faida ambazo wanatengenezea wamiliki hisa (shareholders) ambao ndio wamiliki kampuni.
Mfano ni Equity Bank ambayo imepata faida ya ksh 36 billion mwakani kufikia August 2021. Kwa hiyo kulipa James Mwangi 5m kwa mwezi sio shida kwa equity. View attachment 2007246
Ksh 1.1M per day!!!!!!! Hiyo ni salary ya top CEOs in tz per month.
Mpo mbali sana wezetu
 
Ksh 1.1M per day!!!!!!! Hiyo ni salary ya top CEOs in tz per month.
Mpo mbali sana wezetu
Hawa jamaa wanalipwa pesa nzuri sio mchezo. Asilimia ya watu wengi wataishi maisha yao hadi mwisho bila kuwahi miliki ata ksh 1 million kwa account. Ila ni hali ya dunia.
Screenshot_20211111-220932.jpg
 
Ivi wakitangazwa ivi usalama wao unakuaje?
Wako salama tu. Wanaendelea na maisha yao kama kawaida.
Mfano huyu hapa mfupi ni Peter Ndegwa, CEO wa Safaricom akiwa Nakuru city mitaani kwa maduka kukagua jinsi watu wanaendesha huduma za Mpesa.
FB_IMG_16366586022916057.jpg
 
Pesa ni ya kenya nyingine zilizobaki ni shilingi tu
 
Ukiwa na mipesa kihivi unalipa wataalam wa mambo ya usalama wanakulinda kimya kimya, yaani wewe unaendelea na maisha yako bila kujua unalindwaje, mhuni akijichanganya anafumuliwa bila kujua ilikuakuaje, sio unatekwa kizembe kama yule Mo.....
Ewaaaa....my frend you nailed it[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom