Abu Haarith JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 314 Reaction score 165 Oct 13, 2017 #1 Ni mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara (VPL) uliopigwa leo katika dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza ambapo Mbao ndiyo walioanza kupata bao dakika ya 3, kisha Mbeya City wakakosa mkwaju wa penati dakika ya 5 kupitia kwa Mohamed Samatta.
Ni mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara (VPL) uliopigwa leo katika dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza ambapo Mbao ndiyo walioanza kupata bao dakika ya 3, kisha Mbeya City wakakosa mkwaju wa penati dakika ya 5 kupitia kwa Mohamed Samatta.
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,743 Reaction score 25,564 Oct 13, 2017 #2 Aiseee
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Oct 14, 2017 #3 Asante kwa kutujuza mkuu
Jaji Mfawidhi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2016 Posts 15,835 Reaction score 23,776 Oct 14, 2017 #4 Yani bora ulete matokeo ya mchozo wa 'Nage' ama "rede" ule wa kina dada kuliko hii mitimu kila kukicha hamna kiwango
Yani bora ulete matokeo ya mchozo wa 'Nage' ama "rede" ule wa kina dada kuliko hii mitimu kila kukicha hamna kiwango