HIGHLIGHTS Mbao FC 2 2 Mbeya City 13/10/2017

HIGHLIGHTS Mbao FC 2 2 Mbeya City 13/10/2017

Abu Haarith

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
314
Reaction score
165
Ni mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara (VPL) uliopigwa leo katika dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza ambapo Mbao ndiyo walioanza kupata bao dakika ya 3, kisha Mbeya City wakakosa mkwaju wa penati dakika ya 5 kupitia kwa Mohamed Samatta.
 
Yani bora ulete matokeo ya mchozo wa 'Nage' ama "rede" ule wa kina dada kuliko hii mitimu kila kukicha hamna kiwango
 
Back
Top Bottom