Abu Haarith
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 314
- 165
Kinondoni Municiple Council (KMC)Hii KMC ni timu gani hiyo ?
Na ni yawapi ?
Na inaitwaje kirefu chake ?
Tafadhali mkuu, nimemuona Minziro ndiye kocha wao, ivi Minziro ni kocha wa timu ya Kinondoni ?Kinondoni Municiple Council (KMC)
Soma hapa>>> TIMU DARAJA LA KWANZA YAIKOMALIA YANGA ~ Bin RUWEHYTafadhali mkuu, nimemuona Minziro ndiye kocha wao, ivi Minziro ni kocha wa timu ya Kinondoni ?
Naona kwenye video clip kama ni Wakenya flani hivi, na wanacheza vizuri.
Anayeijua hiyo timu anijuze inaitwaje kirefu chake.
Asante mkuu, nimeona, kumbe ni vijana wa Kinondoni...!Kinondoni Municiple Council (KMC)
Andika thread yako mkuu hapa umechanganya fileGuys msaada mm ni mwanafunzi wa Kilimanjaro institute of technology nna C moja tu na nipo ordinary diploma nahitaji kufanya transfer kwenda DIT au NIT
Je itawezekana?
Municiple>>>MunicipalKinondoni Municiple Council (KMC)
Shukrani mkuuMuniciple>>>Municipal
poaShukrani mkuu