Highlights Yanga SC 0 - 0 KMC, 08/10/2017

Highlights Yanga SC 0 - 0 KMC, 08/10/2017

Hii KMC ni timu gani hiyo ?
Na ni yawapi ?
Na inaitwaje kirefu chake ?
 
Guys msaada mm ni mwanafunzi wa Kilimanjaro institute of technology nna C moja tu na nipo ordinary diploma nahitaji kufanya transfer kwenda DIT au NIT
Je itawezekana?
 
Kinondoni Municiple Council (KMC)
Tafadhali mkuu, nimemuona Minziro ndiye kocha wao, ivi Minziro ni kocha wa timu ya Kinondoni ?
Naona kwenye video clip kama ni Wakenya flani hivi, na wanacheza vizuri.
Anayeijua hiyo timu anijuze inaitwaje kirefu chake.
 
Yanga hii ikibakia kumi bora kwenye ligi inayoendelea najipiga bani jamii forum kwa mwaka mzima
 
Guys msaada mm ni mwanafunzi wa Kilimanjaro institute of technology nna C moja tu na nipo ordinary diploma nahitaji kufanya transfer kwenda DIT au NIT
Je itawezekana?
Andika thread yako mkuu hapa umechanganya file
 
Back
Top Bottom