Hii ahadi ya Mo Dewji ni kichekesho tu maana anajua kabisa Kilimanjaro Stars hawana uwezo wa kuleta ubingwa wa CECAFA

Alishasoma ramani nzima.
Mechi tatu wamefunga goli moja tu. Kocha Mgunda wa Coastal Union kweli kaucheza mdomoni
Muhindi mjanja mjanja,alijitengenezea headline huku akijua hamna kitu
 
Mo hata angesema atawapa kiasi fulani kwa mshindi wa tatu kili stars wangekosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…