Hii aibu Mtanzania kawa wa mwisho Olympic mita 1500

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Ilipogongwa kengele katoka nduki kawa wa kwanza nikaona matumaini mwisho chali kaachwa kwa hatua kama 10 mwenyewe anapambana,hivi hawa ndo the best?

Jana mkenya kaongoza mita 100 kwa sekunde 10.1

Wanawake Kenya nafasi ya pili na tatu ziliangukia kwao ,kila mbio inayowahusisha naona wanarudi na medali.

Tanzania tunatia aibu, mshindani mmoja taasisi inapeleka benchi la ufundi watu 9.

Shame on you
 
Wanaume ,mita 200 sasa hivi Ghana kachukua Kenya wa pili.

KBC kwa waliopo Azam decoder
 
KUANZA FASTA SIO GUARANTEE YA KUMALIZA FASTA
 
Huku mtaani kuna wakimbiaji
Sema ndio hivyo
Kila kiongozi anatazamia matumbo yao kupitia posho
 
Sasa jogging hizi za wasafi na EFM unategemea nini watu wanaingia vikoba viunoni wanakimbia
Unazijua hizo tu?
What if ukipata habari kuwa hizo hata hazina wafuasi zinapata airtime tu kuna jogging kama utitiri Tanzania
 
Jamani jamani ukienda kwenye hayo mabio huko nje pumzi kisoda chaliiii mtu anahemea sikio haya ukija kwenye masumbwi unakutana na mtu kazi mandonga
 
Hii nchi tatizo lipo kwenye usimamizi.

nchii hii haina wazalendo ,kika kitu ni dili na kulamba asali.

natamani tu-shut down all sports.
 
Ilipogongwa kengele katoka nduki kawa wa kwanza nikaona matumaini mwisho chali kaachwa kwa hatua kama 10 mwenyewe anapambana,hivi hawa ndo the best?

Jana mkenya kaongoza mita 100 kwa sekunde 10.1

Wanawake Kenya nafasi ya pili na tatu ziliangukia kwao ,kila mbio inayowahusisha naona wanarudi na medali.

Tanzania tunatia aibu, mshindani mmoja taasisi inapeleka benchi la ufundi watu 9.

Shame on you
Unadhani rahisi?
Hakuna aibu hapo hiyo ni michezo
 
Ilipogongwa kengele katoka nduki kawa wa kwanza nikaona matumaini mwisho chali kaachwa kwa hatua kama 10 mwenyewe anapambana,hivi hawa ndo the best?

Jana mkenya kaongoza mita 100 kwa sekunde 10.1

Wanawake Kenya nafasi ya pili na tatu ziliangukia kwao ,kila mbio inayowahusisha naona wanarudi na medali.

Tanzania tunatia aibu, mshindani mmoja taasisi inapeleka benchi la ufundi watu 9.

Shame on you

Kama unaweza si ungeenda wewe kukimbia!!
 
Kama nchi tulichukua a wrong turn, na kuna mtu akatugeuza kuwa mazuzu, hapo juu kuna wachangiaji wana shangilia kuwa wa mwisho!halafu wanaona Sawa,Kenya tulikua nao sambamba kwenye mbio hizi ndefu kumbuka Enzi za akina Shahanga,Nyambui, ikangaa etc etc, then wakati ilitakiwa tugeuke kulia, yule mtu akatugeuza kushoto kama nchi ,Kenyans now wameingia kwenye mbio za kati na fupi, mbio ambazo sisi tulikua ni star kama nchi.
 
Ilipogongwa kengele katoka nduki kawa wa kwanza nikaona matumaini mwisho chali kaachwa kwa hatua kama 10 mwenyewe anapambana,hivi hawa ndo the best?

Jana mkenya kaongoza mita 100 kwa sekunde 10.1

Wanawake Kenya nafasi ya pili na tatu ziliangukia kwao ,kila mbio inayowahusisha naona wanarudi na medali.

Tanzania tunatia aibu, mshindani mmoja taasisi inapeleka benchi la ufundi watu 9.

Shame on you
Tushindane kwenye unywaji wa kahawa na kashata.Au kama vipi kwenye umbeya na longolongo.Wakiona hatushindi na huko watupeleke kwenye mashindano ya ulalamishi bila kuchukua hatua.
 
Yule jamaa alishinda Medani ya fedha tulikaa kimyaaa....
Hatukuona.
 
Wanaume ,mita 200 sasa hivi Ghana kachukua Kenya wa pili.

KBC kwa waliopo Azam decoder
Mkuu hizo ni qualifying heats. Though nafikiri hio 1,500 ni final.
200m final jumamosi asubuhi BST
 
Ilipogongwa kengele katoka nduki kawa wa kwanza nikaona matumaini mwisho chali kaachwa kwa hatua kama 10 mwenyewe anapambana,hivi hawa ndo the best?

Jana mkenya kaongoza mita 100 kwa sekunde 10.1

Wanawake Kenya nafasi ya pili na tatu ziliangukia kwao ,kila mbio inayowahusisha naona wanarudi na medali.

Tanzania tunatia aibu, mshindani mmoja taasisi inapeleka benchi la ufundi watu 9.

Shame on you
Halafu rekodi ya commonwealth games 1,500m mpaka Leo ni ya Filbert Bayi 1974
 
Back
Top Bottom