KUANZA FASTA SIO GUARANTEE YA KUMALIZA FASTAIlipogongwa kengele katoka nduki kawa wa kwanza nikaona matumaini mwisho chali kaachwa kwa hatua kama 10 mwenyewe anapambana,hivi hawa ndo the best?
Jana mkenya kaongoza mita 100 kwa sekunde 10.1
Wanawake Kenya nafasi ya pili na tatu ziliangukia kwao ,kila mbio inayowahusisha naona wanarudi na medali.
Tanzania tunatia aibu, mshindani mmoja taasisi inapeleka benchi la ufundi watu 9.
Shame on you
Unazijua hizo tu?Sasa jogging hizi za wasafi na EFM unategemea nini watu wanaingia vikoba viunoni wanakimbia
Unadhani rahisi?Ilipogongwa kengele katoka nduki kawa wa kwanza nikaona matumaini mwisho chali kaachwa kwa hatua kama 10 mwenyewe anapambana,hivi hawa ndo the best?
Jana mkenya kaongoza mita 100 kwa sekunde 10.1
Wanawake Kenya nafasi ya pili na tatu ziliangukia kwao ,kila mbio inayowahusisha naona wanarudi na medali.
Tanzania tunatia aibu, mshindani mmoja taasisi inapeleka benchi la ufundi watu 9.
Shame on you
Ilipogongwa kengele katoka nduki kawa wa kwanza nikaona matumaini mwisho chali kaachwa kwa hatua kama 10 mwenyewe anapambana,hivi hawa ndo the best?
Jana mkenya kaongoza mita 100 kwa sekunde 10.1
Wanawake Kenya nafasi ya pili na tatu ziliangukia kwao ,kila mbio inayowahusisha naona wanarudi na medali.
Tanzania tunatia aibu, mshindani mmoja taasisi inapeleka benchi la ufundi watu 9.
Shame on you
Tushindane kwenye unywaji wa kahawa na kashata.Au kama vipi kwenye umbeya na longolongo.Wakiona hatushindi na huko watupeleke kwenye mashindano ya ulalamishi bila kuchukua hatua.Ilipogongwa kengele katoka nduki kawa wa kwanza nikaona matumaini mwisho chali kaachwa kwa hatua kama 10 mwenyewe anapambana,hivi hawa ndo the best?
Jana mkenya kaongoza mita 100 kwa sekunde 10.1
Wanawake Kenya nafasi ya pili na tatu ziliangukia kwao ,kila mbio inayowahusisha naona wanarudi na medali.
Tanzania tunatia aibu, mshindani mmoja taasisi inapeleka benchi la ufundi watu 9.
Shame on you
Mkuu hizo ni qualifying heats. Though nafikiri hio 1,500 ni final.Wanaume ,mita 200 sasa hivi Ghana kachukua Kenya wa pili.
KBC kwa waliopo Azam decoder
Ndio Tz hio.Yule jamaa alishinda Medani ya fedha tulikaa kimyaaa....
Hatukuona.
Halafu rekodi ya commonwealth games 1,500m mpaka Leo ni ya Filbert Bayi 1974Ilipogongwa kengele katoka nduki kawa wa kwanza nikaona matumaini mwisho chali kaachwa kwa hatua kama 10 mwenyewe anapambana,hivi hawa ndo the best?