Hii aibu sitokuja kuisahau

Llio 002

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
1,636
Reaction score
2,053
Habari za mchana wana JF,

Kuna siku tulikuwa darasani tunapiga kelele kinoma tena mm ndio nikiwa kiongozi wa hayo makelele tena nikiwa nimekaa dawati la mbele kabisa.

Wakati huo nipo kidato cha nne ndipo mwalimu wa hesabu akingia baada ya kusikia ya makelele na kunikuta nikijiachia akaamuwa kunipa adhabu akasema ukifanikiwa kusolve hili swali basi nimekusamehe ila ukishindwa imekula kwako kabisa nilipewa swali la hesabu.

LogA + LogA = ??

Huwezi amini jasho lilinitoka kuanzia kichwani hadi miguuni.

Tena hapo ni darasani natakiwa nisolve ubaoni[emoji23][emoji23]
Ile aibu sihisahau maishani mwangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo sio aibu!inaonesha wewe nikilaza hujui chochotee....aibu imemfika mwezio mmoja Lio,tuko mskitini sala ya ijumaa,mawaidha watu wako kimya....madogo flani wanavizii wamesiziaa hahhaah maraa tukaskia praaaaaaaaaah Tena ile ya nguvu,hahaha nilitaka nichekee Ila sema sio poa.madogo muache kusizia misikiti na makanisani

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Shida hizii🤔🤔🤔🤔🤔
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Oya mm sio kilaza mzee niko vizuri kichwani
 
Hii sredi mbona kama tunashindana kuonyeshana how dumb we are?

What's so funny kucheka mtu akijamba sehemu ya ibada.
 
[emoji23][emoji23] usije ukajizuwia kucheka ukashangaa na ww unajamba
Hii sredi mbona kama tunashindana kuonyeshana how dumb we are?

What's so funny kucheka mtu akijamba sehemu ya ibada.
 
[emoji23][emoji23] usije ukajizuwia kucheka ukashangaa na ww unajamba
Nicheke kisa nini?

Nipo mbele ya Mola wangu natakiwa niwe msafi kuanzia mwili, mawazo na sehemu ninayofanyia ibada. Kimoja kikipungua ibada yangu haitokamilika.

And you reckon I will still have the audacity to laugh? 🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…