Llio 002
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,636
- 2,053
Habari za mchana wana JF,
Kuna siku tulikuwa darasani tunapiga kelele kinoma tena mm ndio nikiwa kiongozi wa hayo makelele tena nikiwa nimekaa dawati la mbele kabisa.
Wakati huo nipo kidato cha nne ndipo mwalimu wa hesabu akingia baada ya kusikia ya makelele na kunikuta nikijiachia akaamuwa kunipa adhabu akasema ukifanikiwa kusolve hili swali basi nimekusamehe ila ukishindwa imekula kwako kabisa nilipewa swali la hesabu.
LogA + LogA = ??
Huwezi amini jasho lilinitoka kuanzia kichwani hadi miguuni.
Tena hapo ni darasani natakiwa nisolve ubaoni[emoji23][emoji23]
Ile aibu sihisahau maishani mwangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]