Club ya Simba karibuni imekua ikijikongoja katika upigaji wq penalt yaani simba ikipata tuta basi ujue mashabiki wanabana kende badala ya kushangilia kwani hawana uhakika na matokeo.
Wachezaji wanabahatisha tu na sikuhizi hadi wanaziogopa kuzipiga. Walifanyie mazoezi hili na wawaksimishe watu wanaoweza na kujiamini. Kocha amtumie Sakho na wakishindwa kabisa bora wawe wanamwachia Manula akazipige.
Wachezaji wengi wa simba ni wazuri kinachowaponza sifa, sifa,sifa, ukiwasifia tu huwa wanavimba mno wanapoteza hata direction.. hata kocha nae soon ataanza kuvimba sifa kutoka kwa mashabiki as if wameyamaliza kumbe ndo Kunakucha.. stupid kabisa
Ndugu zangu tulieni msipanic ndo kwanza ligi inaanza yanga watapoteana tu na sisi hili gape la point 5 tutaliziba tu,,,alisikika mlevi mmoja wa kimpumu akiongea🤣🤣🤣🤣