Hii aibu ya kukosa Penalti Simba waivue, sasa inatosha!

Hii aibu ya kukosa Penalti Simba waivue, sasa inatosha!

Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
5,778
Reaction score
4,859
Club ya Simba karibuni imekua ikijikongoja katika upigaji wq penalt yaani simba ikipata tuta basi ujue mashabiki wanabana kende badala ya kushangilia kwani hawana uhakika na matokeo.

Wachezaji wanabahatisha tu na sikuhizi hadi wanaziogopa kuzipiga. Walifanyie mazoezi hili na wawaksimishe watu wanaoweza na kujiamini. Kocha amtumie Sakho na wakishindwa kabisa bora wawe wanamwachia Manula akazipige.

Penalty za simba hazina utofauti na kona
 
Yani wananiboa sana hawa wachezaji wa Simba, wanakosaje penalty? Upuuzi huu
 
Wa kulaumiwa ni benchi la ufundi. Hili limeshakuwa tatizo sugu Simba je benchi la ufundi limefanya nini kuliondoa?
 
Wachezaji wengi wa simba ni wazuri kinachowaponza sifa, sifa,sifa, ukiwasifia tu huwa wanavimba mno wanapoteza hata direction.. hata kocha nae soon ataanza kuvimba sifa kutoka kwa mashabiki as if wameyamaliza kumbe ndo Kunakucha.. stupid kabisa
 
Simba na Pablo wafanyie kazi kwenye penalty huenda ikawagharimu huko kwenye michuano ya shirikisho.
 
Ndugu zangu tulieni msipanic ndo kwanza ligi inaanza yanga watapoteana tu na sisi hili gape la point 5 tutaliziba tu,,,alisikika mlevi mmoja wa kimpumu akiongea🤣🤣🤣🤣
 
Huhuhu
JamiiForums-902558406.jpg
 
Makolos mmeliwa KIBOGA dadeq.. Chezea wanaume wa mkoani wanaokula vitu Asili.. nyie si mnajifanya mnakula bagha mjini...
Mmeshakojolewa dadeq
 
Back
Top Bottom