Hii aibu ya kukosa Penalti Simba waivue, sasa inatosha!

Mwishoni mwa msimu top four
Yanga
Polisi
Geita
Coastal.









13 simba
 
Ndugu zangu tulieni msipanic ndo kwanza ligi inaanza yanga watapoteana tu na sisi hili gape la point 5 tutaliziba tu,,,alisikika mlevi mmoja wa kimpumu akiongea🤣🤣🤣🤣
Huyo mlevi yupo sahihi sana,mwaka jana kipindi kama hiki kama una kumbukumbu Simba ilishagongwa mechi 2 na mwisho wa msimu ikabeba ndoo
 
Naomba kuuliza mnaolalamika kila siku timu inakosa penati, kuuliza kwani simba haijawai funga penalty, mapunduzi imebeba kwa penalty.

Kukosa penalty ni part ya mchezo na ndio maana kuna mpigaji na golikipa
 
Waambie hao
Naomba kuuliza mnaolalamika kila siku timu inakosa penati, kuuliza kwani simba haijawai funga penalty, mapunduzi imebeba kwa penalty.

Kukosa penalty ni part ya mchezo na ndio maana kuna mpigaji na golikipa
Waambie hao wananchi, sie makolo mbona tumeridhika na kukosa penalty. Boss wetu mwamedi atanunua mechi nyingine.
 
Naona mnajisahaulisha ya Zanzibar.
Makombe yamebaki 2 ligi kuu na Azam.
Angalieni msije mkakosa yote
 
Hv ww Kolo una kikosi cha kuchukuwa hayo Makombe.. tuanzie hapo kwanza
Naona mnajisahaulisha ya Zanzibar.
Makombe yamebaki 2 ligi kuu na Azam.
Angalieni msije mkakosa yote
Kama Mapndz sidhan kama Kuna Timu inasajil na kuweka mikakat ya kuchukuwa Mpndz Cup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…