mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni kweli kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni kweli kabisa
🤣🤣🤣🤣Wenzetu mtakufa kwa kihororo....
We kolo acha tantalila, kapige weweIfike mahala , anaye fanyiwa faulo na kusababisha penalty ndiye apige penalty kama wapiga penalty wamekosekana.
Huyo mlevi yupo sahihi sana,mwaka jana kipindi kama hiki kama una kumbukumbu Simba ilishagongwa mechi 2 na mwisho wa msimu ikabeba ndooNdugu zangu tulieni msipanic ndo kwanza ligi inaanza yanga watapoteana tu na sisi hili gape la point 5 tutaliziba tu,,,alisikika mlevi mmoja wa kimpumu akiongea🤣🤣🤣🤣
Naona mikia inashauriana hapa sijui kulikoni?.........Mikia mna msiba?
Teh! teh! teh!Naona mikia inashauriana hapa sijui kulikoni?
Waambie hao wananchi, sie makolo mbona tumeridhika na kukosa penalty. Boss wetu mwamedi atanunua mechi nyingine.Naomba kuuliza mnaolalamika kila siku timu inakosa penati, kuuliza kwani simba haijawai funga penalty, mapunduzi imebeba kwa penalty.
Kukosa penalty ni part ya mchezo na ndio maana kuna mpigaji na golikipa
Kama aliyefanyiwa faulo kaumia sana itakuwajeIfike mahala , anaye fanyiwa faulo na kusababisha penalty ndiye apige penalty kama wapiga penalty wamekosekana.
Kama Mapndz sidhan kama Kuna Timu inasajil na kuweka mikakat ya kuchukuwa Mpndz CupNaona mnajisahaulisha ya Zanzibar.
Makombe yamebaki 2 ligi kuu na Azam.
Angalieni msije mkakosa yote
Hv ww Kolo una kikosi cha kuchukuwa hayo Makombe.. tuanzie hapo kwanza
Kama Mapndz sidhan kama Kuna Timu inasajil na kuweka mikakat ya kuchukuwa Mpndz Cup