Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Awe anapiga Pablo.Club ya Simba karibuni imekua ikijikongoja katika upigaji wq penalt yaani simba ikipata tuta basi ujue mashabiki wanabana kende badala ya kushangilia kwani hawana uhakika na matokeo.
Wachezaji wanabahatisha tu na sikuhizi hadi wanaziogopa kuzipiga. Walifanyie mazoezi hili na wawaksimishe watu wanaoweza na kujiamini. Kocha amtumie Sakho na wakishindwa kabisa bora wawe wanamwachia Manula akazipige.
Penalty za simba hazina utofauti na kona