Hapo anawajibika pakubwa sana. Lakini nature ya ajali (stampede) inaweza tokea hata mchana wa jua kali, inahitaji tu mkusanyiko. Kulikuwa na hatua za kiusalama kuzuia stampede?Mwisho wa kibali ilikuwa saa 18:00 yeye aliendelea hadi usiku Mnene,inabidi awajibike MWAMPOSA Mwenyewe.
Mkuu swala la usalama wa waamini 100% ilikuwa mikononi mwa MWAMPOSA,Polisi wapo pale kwa ajili ya kulinda vitendo vya kijinai visitokee/kudhibiti,Mwamposa ilitakiwa apime mwenye kitendo cha kuwaamuru kondooo(watu wengi) kukanyaga mafuta kwenye sehemu ndogo kisingeweza kuleta maafa? Polisi hawawezi kumzuia mwamposa akiwaamuru Kondoo wake wakanyage mafuta maana ni imani yao na mwamposa,polisi wangeingia kati endapo mwamposa angesema haya toa kisu mchinje mwenzako hapo ungeona polisi wanainglia kati.Hapo anawajibika pakubwa sana. Lakini nature ya ajali (stampede) inaweza tokea hata mchana wa jua kali, inahitaji tu mkusanyiko. Kulikuwa na hatua za kiusalama kuzuia stampede?
Mwisho wa kibali ilikuwa saa 18:00 yeye aliendelea hadi usiku Mnene,inabidi awajibike MWAMPOSA Mwenyewe.
Niliwahi shauri idadi ya watu nchi hii inakuwa kwa kasi, public admin inahitajika kuimarishwa, kule mbeya uwanja wa mpira ulikanyagwa na kuharibiwa na wacheza disco.Kwanza niwape pole wahanga wote wa ajali ya jana moshi mjini. Pili niseme kuwa jukumu kubwa usalama wa eneo lile lilikuwa la Mwamposa na waandaaji wa ile shughuli. Lakini najiuliza iwapo vyombo vya usalama (hasa polisi) hawakuwa na jukumu lolote kuhakikisha lile eneo ni salama?
Mtu anapoenda kuomba kibali cha kukusanyika, kabla ya kumpa hawataki kuhakikishiwa kuwa kutakuwa na wanaosimamia usalama?.
Naomba wale waliofanya uzembe jana na kuleta maafa wawajibishwe na pia tujifunze na kuweka utaratibu ili jambo kama hili lisitokee tena.
Two wrongs don't make a right........Kama Polisi waliopewa dhamana ya kulinda mkutano huo na kama hawajatekeleza majukumu yao nao wanaingia kwenye hiyo kesi.Waliompa kibali mwisho 18:00, hawakuenda kuhakikisha shughuli imekoma muda huo?