Hii amri ingeongezeka katika amri zile 10 na kuwa amri 11

Hii amri ingeongezeka katika amri zile 10 na kuwa amri 11

Bado wangeivunja tu kama wanavyozivunja amri 10 zilizopo. Hiyo ingekua inajazilizia amri ya sita ambayo mara nyingi inapelekea hayo mambo ya kutaka amri ya kuzuia kuombwa pesa.
 
Ukitii ya kutozini tu inatosha kufunika zote mlizotaja, Our God is full of knowledge, we are not even a particle of his knowledge
 
Amri ya 6 imejitosheleza, hiyo ni sub ndani yake, wakti wa ufafanuzi wa amri hiyo hiyo sub itaelezewa.
 
Amri kumi Mungu aliziandika kwa kidole chake;
na zinatosheleza kila kitu, ni jinsi ya kufafanua tu;
 
Back
Top Bottom