Hii amri ingeongezeka katika amri zile 10 na kuwa amri 11

Hii amri ingeongezeka katika amri zile 10 na kuwa amri 11

Naunga mkono hoja.kunywa supu ya utumbo hapo.mwambie mamantilie ela yake ntamrushia kwa eatel mane.
 
Halafu ukiongeza hiyo amri yako ya 11, utaiandika wapi wakati amri kumi ziliandikwa na Mungu Mwenyewe kwenye vipande vyama mawe na vipande hivyo vimo ndani ya sanduku la agano ambalo halifahamiki mahali lilipo?.
 
Back
Top Bottom