Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Tunajua simu zetu zinakuja na apps ambazo haziwezi kufutika sio ๐, Sasa 2026 bhana hakuna kinachoshindikana aiseeh.
Leo nakupa app inayofuta kila kitu kwenye simu yako haijalishi hiyo app imekuja na simu au umeikuta tu hata zile ambazo ume download zinakataa kufutika ila kupitia hii apps mchezo kwisha.
App inaitwa Canta ni program inayokupa uwezo wa kufuta apps zile ambazo bloatware hazitaki kufutika kabisa zilizokuja na simu sasa kupitia hii app utaweza kufuta kila kitu bila shida yoyote.
โ Unaweza futa app zilizokuja na simu
โ Unaweza ku hide app ambazo hutaki zijitokeze au huzitumi kabisa kwenye kifaa Chako.
โ Inakuambia kama apps ulizonazo kwenye simu yako ni salama au lah.
โ Ukifanya factory reset apps zako ulizozifuta zinarudi Tena ๐.
๐ Lazima uwe na app inaitwa Shizuku ili uweze kutumia hii app.