Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
ni chungu mno kumeza utamu wake wa ukweli ee gentleman?🐒View attachment 3679641
Jamaa anapambania kopo la asali mbichi. Mpaka nikawa najiuliza alikuja kujibu kama idara ya serikali? Au ni mwandishi tu kama wengine hapo?
Huyo Mpumbavu nadhani wangemuondoa kuwa sijui mwenyeketi wa jukwaa la wahariri ,hafai kabisa maana ni MLA RUSHWA ,wampe KHALIFA.View attachment 3679641
Jamaa anapambania kopo la asali mbichi. Mpaka nikawa najiuliza alikuja kujibu kama idara ya serikali? Au ni mwandishi tu kama wengine hapo?
Hii point ya Khalifa ilinifanya nitikise kichwa peke yangu.No si kweli Balile unapotosha........
Huyu jamaa yupo sahihi mno anapigania uhuru wa habari, kwanini watu habari kidgo tu mara tcra hamefungia lakini taaluma zingine kama TLS na ERB au MAT husikii serikali ikiingilia kwanini wandishi wa habari mambo yao yasimalizwe na bodi ya habari na sio serikali haramu ya samia.
Balile kesha kuwa chawa, atapanda chati na kuwa Chawa wa Kiunoni.Akiwasilisha hoja yake kwa hisia kali, Mhariri wa Blog ya The Chanzo Khalifa alihoji jinsi makosa yanayofanywa na waandishi wa habari wanapokuwa chumba cha habari (newsroom) yanavyoweza kugeuka na kuwa biashara au uingiliaji wa serikali. Khalifa alionyesha kutokubaliana na hali hiyo na kuita mkakati huo kuwa hautendei haki taaluma ya habari na hauingii akilini.
Kwa upande wake, Balile alijaribu kutoa ufafanuzi kuhusu mfumo wa kisheria unaosimamia sekta hiyo. Alieleza historia ya sheria za habari nchini, akirejelea Sheria ya Magazeti ya mwaka 1928, maboresho ya mwaka 1976, hadi kuundwa kwa vyombo vya taaluma ya habari na Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016.
"Inakuaje mimi mwandishi wa habari ninayekuwepo newsroom, nikifanya kosa inakuwa ni biashara ya serikali? Hiyo inawezekana vipi? Hicho kitu kinaingiaje akilini ndugu zangu?
Sasa huyu hapa bwana mkubwa anasema hakuna hofu. Yaani mimi nikifanya kosa inakuwa ni biashara ya serikali kuja kurekebisha, hiyo inawezekana vipi? ... No, ni ujinga! It's crazy! Ni madness! Haziwezekani. "Balile unapotosha! Sheria ya wanasheria kuna chombo cha sheria cha wanasheria"
Jamaa anapambania kopo la asali mbichi. Mpaka nikawa najiuliza alikuja kujibu kama idara ya serikali? Au ni mwandishi tu kama wengine hapo?
Uko sahihi....Kijana wa Rostam
Huyo mazafaka ni takataka isiyofaa hata kwa recycling program!Akiwasilisha hoja yake kwa hisia kali, Mhariri wa Blog ya The Chanzo Khalifa alihoji jinsi makosa yanayofanywa na waandishi wa habari wanapokuwa chumba cha habari (newsroom) yanavyoweza kugeuka na kuwa biashara au uingiliaji wa serikali. Khalifa alionyesha kutokubaliana na hali hiyo na kuita mkakati huo kuwa hautendei haki taaluma ya habari na hauingii akilini.
Kwa upande wake, Balile alijaribu kutoa ufafanuzi kuhusu mfumo wa kisheria unaosimamia sekta hiyo. Alieleza historia ya sheria za habari nchini, akirejelea Sheria ya Magazeti ya mwaka 1928, maboresho ya mwaka 1976, hadi kuundwa kwa vyombo vya taaluma ya habari na Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016.
"Inakuaje mimi mwandishi wa habari ninayekuwepo newsroom, nikifanya kosa inakuwa ni biashara ya serikali? Hiyo inawezekana vipi? Hicho kitu kinaingiaje akilini ndugu zangu?
Sasa huyu hapa bwana mkubwa anasema hakuna hofu. Yaani mimi nikifanya kosa inakuwa ni biashara ya serikali kuja kurekebisha, hiyo inawezekana vipi? ... No, ni ujinga! It's crazy! Ni madness! Haziwezekani. "Balile unapotosha! Sheria ya wanasheria kuna chombo cha sheria cha wanasheria"
Jamaa anapambania kopo la asali mbichi. Mpaka nikawa najiuliza alikuja kujibu kama idara ya serikali? Au ni mwandishi tu kama wengine hapo?
Sasa sio tena chawa! kawa kupe.Balile kesha kuwa chawa, atapanda chati na kuwa Chawa wa Kiunoni.