Hii asali anayolamba Balile ni asali mbichi ya Tabora? Sio kwa kutetea huku!

Akiwasilisha hoja yake kwa hisia kali, Mhariri wa Blog ya The Chanzo Khalifa alihoji jinsi makosa yanayofanywa na waandishi wa habari wanapokuwa chumba cha habari (newsroom) yanavyoweza kugeuka na kuwa biashara au uingiliaji wa serikali. Khalifa alionyesha kutokubaliana na hali hiyo na kuita mkakati huo kuwa hautendei haki taaluma ya habari na hauingii akilini.

Kwa upande wake, Balile alijaribu kutoa ufafanuzi kuhusu mfumo wa kisheria unaosimamia sekta hiyo. Alieleza historia ya sheria za habari nchini, akirejelea Sheria ya Magazeti ya mwaka 1928, maboresho ya mwaka 1976, hadi kuundwa kwa vyombo vya taaluma ya habari na Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016.
"Inakuaje mimi mwandishi wa habari ninayekuwepo newsroom, nikifanya kosa inakuwa ni biashara ya serikali? Hiyo inawezekana vipi? Hicho kitu kinaingiaje akilini ndugu zangu?

Sasa huyu hapa bwana mkubwa anasema hakuna hofu. Yaani mimi nikifanya kosa inakuwa ni biashara ya serikali kuja kurekebisha, hiyo inawezekana vipi? ... No, ni ujinga! It's crazy! Ni madness! Haziwezekani. "Balile unapotosha! Sheria ya wanasheria kuna chombo cha sheria cha wanasheria"

Jamaa anapambania kopo la asali mbichi. Mpaka nikawa najiuliza alikuja kujibu kama idara ya serikali? Au ni mwandishi tu kama wengine hapo?
Andiko fupi lakini lenye ukweli mzito sana! Mzozo wa Khalifa na Balile unaonyesha wazi kwanini Muhimili wa Nne unakufa Tanzania—na mbaya zaidi, unauawa na wanatasnia wenyewe. Huwezi kutetea udhibiti wa serikali kwenye 'newsroom' ukajiita mtetezi wa uhuru wa habari. Hiyo asali wanayolamba ndiyo inayowafunga midomo na kuwapofusha wasione panga linaloning'inia kwenye shingo za waandishi. Safi sana kwa uchambuzi huu!
 
Huyo bwana ni kiherehere A+

Kwenye ziara ya wahariri kule bwawani Rufiji,JNHEP enzi za uwaziri wa Makamba,yeye ndiye anajibu maswali ya waandishi kwa niaba ya serikali.
 
Nimemsikia huyo chawa analinganisha mchakato wa kuwapata majaji wa mahakama kuu na jaji mkuu wa Kenya akidai mchakato unafanana nimeshangaa pia na kujua mara ya kwanza huyu kilaza eti ni mwanasheria pia.
Halafu nasikia kasomea Sheria, nchi nyingi Majaji wanatajwa na Rais lakini kuna jopo linalomshauri rais, na wanasahiliwa, Khalifa alitakiwa kumuuliza Chawa Balile lini Majaji wa Tanzania walisailiwa kama Kenya?
 
Huyu ni mhariri wa gazeti la jamhuri, mwandishi mwenzake Manyerer Jackson alimhoji Warioba kuhusiana na matukio ya Octoba 29 lakini hii habari ilizuiwa na serikali.
Yeye kama mwenyekiti wa jukwaa la wahariri hakutoa tamko lolote.
Halafu hicho cheo ni kama cha kudumu ni ushamba unaomhangaisha.
 
Akiwasilisha hoja yake kwa hisia kali, Mhariri wa Blog ya The Chanzo Khalifa alihoji jinsi makosa yanayofanywa na waandishi wa habari wanapokuwa chumba cha habari (newsroom) yanavyoweza kugeuka na kuwa biashara au uingiliaji wa serikali. Khalifa alionyesha kutokubaliana na hali hiyo na kuita mkakati huo kuwa hautendei haki taaluma ya habari na hauingii akilini.

Kwa upande wake, Balile alijaribu kutoa ufafanuzi kuhusu mfumo wa kisheria unaosimamia sekta hiyo. Alieleza historia ya sheria za habari nchini, akirejelea Sheria ya Magazeti ya mwaka 1928, maboresho ya mwaka 1976, hadi kuundwa kwa vyombo vya taaluma ya habari na Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016.
"Inakuaje mimi mwandishi wa habari ninayekuwepo newsroom, nikifanya kosa inakuwa ni biashara ya serikali? Hiyo inawezekana vipi? Hicho kitu kinaingiaje akilini ndugu zangu?

Sasa huyu hapa bwana mkubwa anasema hakuna hofu. Yaani mimi nikifanya kosa inakuwa ni biashara ya serikali kuja kurekebisha, hiyo inawezekana vipi? ... No, ni ujinga! It's crazy! Ni madness! Haziwezekani. "Balile unapotosha! Sheria ya wanasheria kuna chombo cha sheria cha wanasheria"

Jamaa anapambania kopo la asali mbichi. Mpaka nikawa najiuliza alikuja kujibu kama idara ya serikali? Au ni mwandishi tu kama wengine hapo?
Na nyie wapuuzi siyo kila anayeisupport serikali amekula asali? Nyie mnaoipinga serikali ktk kila kitu mnalamba nini? Acheni udikteta kulazimisha kila mtu awaze km nyie!
 
Halafu nasikia kasomea Sheria, nchi nyingi Majaji wanatajwa na Rais lakini kuna jopo linalomshauri rais, na wanasahiliwa, Khalifa alitakiwa kumuuliza Chawa Balile lini Majaji wa Tanzania walisailiwa kama Kenya?

Balile ni chawa asiyejitambua , Kenya majaji wa mahakama kuu hata mahakama ya upeo wanasailiwa na kufanyiwa vetting na tukio linarushwa live watu wote waone .

Hili ni tukio la majuzi ambapo usaili wa jaji wa mahakama ya upepo lilifanyika.

Wakati kwa Tanzania tiketi ya kuwa jaji wa mahakama kuu ni kuwa kada wa CCM na kuwa tayari kufuata maelekezo ya mwenyekiti wa CCM na wasaidizi wake.

View: https://youtu.be/WyAy19GhriE?si=27EC03yY4jKjVTxN
 
Wengine tukipiga kelele hapa kuomba mabadiliko ya Katiba kina Mwashambwa na wengine wanatuona kama wehu na zaidi watakejeli tunatumia AI kuandika. Sasa sijui hawajui kwanini wataalamu walitengeneza AI
 
Hao akina Mwashambwa ni kama toilet paper wanatumika kazi ikiisha wanatupwa.

ID za mtindo wa hivyo zipo nyingi tu humu zilikua hai 2016 hadi 2021 zikapotea hata hiyo tarajia miaka michache ijayo hutoiona maana kazi yake itakua imeisha .
 
Akiwasilisha hoja yake kwa hisia kali, Mhariri wa Blog ya The Chanzo Khalifa alihoji jinsi makosa yanayofanywa na waandishi wa habari wanapokuwa chumba cha habari (newsroom) yanavyoweza kugeuka na kuwa biashara au uingiliaji wa serikali. Khalifa alionyesha kutokubaliana na hali hiyo na kuita mkakati huo kuwa hautendei haki taaluma ya habari na hauingii akilini.

Kwa upande wake, Balile alijaribu kutoa ufafanuzi kuhusu mfumo wa kisheria unaosimamia sekta hiyo. Alieleza historia ya sheria za habari nchini, akirejelea Sheria ya Magazeti ya mwaka 1928, maboresho ya mwaka 1976, hadi kuundwa kwa vyombo vya taaluma ya habari na Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016.
"Inakuaje mimi mwandishi wa habari ninayekuwepo newsroom, nikifanya kosa inakuwa ni biashara ya serikali? Hiyo inawezekana vipi? Hicho kitu kinaingiaje akilini ndugu zangu?

Sasa huyu hapa bwana mkubwa anasema hakuna hofu. Yaani mimi nikifanya kosa inakuwa ni biashara ya serikali kuja kurekebisha, hiyo inawezekana vipi? ... No, ni ujinga! It's crazy! Ni madness! Haziwezekani. "Balile unapotosha! Sheria ya wanasheria kuna chombo cha sheria cha wanasheria"

Jamaa anapambania kopo la asali mbichi. Mpaka nikawa najiuliza alikuja kujibu kama idara ya serikali? Au ni mwandishi tu kama wengine hapo?
Sio Tu asali ila yenye sembe la Bogota🤭
 
Ukute hapo linawaza ukuu wa mkoa au wilaya! Pumbavu kabisa. Miaka ya zamani kule vijijini wazinzi walikuwa wanapambana na chawa wa kule down kwa akina mama kwa hiyo na hili jamaa litakuwa chawa la kule down kwa muhusika!
 
wengi sana wanatafuta hizo nafasi kuna moja kwenye radio fulani niliongea nae anasema anajitahidi sana kuwa mweledi ili apate nafasi wa usemaji
 
Akiwasilisha hoja yake kwa hisia kali, Mhariri wa Blog ya The Chanzo Khalifa alihoji jinsi makosa yanayofanywa na waandishi wa habari wanapokuwa chumba cha habari (newsroom) yanavyoweza kugeuka na kuwa biashara au uingiliaji wa serikali. Khalifa alionyesha kutokubaliana na hali hiyo na kuita mkakati huo kuwa hautendei haki taaluma ya habari na hauingii akilini.

Kwa upande wake, Balile alijaribu kutoa ufafanuzi kuhusu mfumo wa kisheria unaosimamia sekta hiyo. Alieleza historia ya sheria za habari nchini, akirejelea Sheria ya Magazeti ya mwaka 1928, maboresho ya mwaka 1976, hadi kuundwa kwa vyombo vya taaluma ya habari na Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016.
"Inakuaje mimi mwandishi wa habari ninayekuwepo newsroom, nikifanya kosa inakuwa ni biashara ya serikali? Hiyo inawezekana vipi? Hicho kitu kinaingiaje akilini ndugu zangu?

Sasa huyu hapa bwana mkubwa anasema hakuna hofu. Yaani mimi nikifanya kosa inakuwa ni biashara ya serikali kuja kurekebisha, hiyo inawezekana vipi? ... No, ni ujinga! It's crazy! Ni madness! Haziwezekani. "Balile unapotosha! Sheria ya wanasheria kuna chombo cha sheria cha wanasheria"

Jamaa anapambania kopo la asali mbichi. Mpaka nikawa najiuliza alikuja kujibu kama idara ya serikali? Au ni mwandishi tu kama wengine hapo?
Pascal Mayalla sema kitu..

Taaluma yako hii.
 
Back
Top Bottom