Kijana wa Ifoza
JF-Expert Member
- Oct 31, 2025
- 1,180
- 2,302
Andiko fupi lakini lenye ukweli mzito sana! Mzozo wa Khalifa na Balile unaonyesha wazi kwanini Muhimili wa Nne unakufa Tanzaniaāna mbaya zaidi, unauawa na wanatasnia wenyewe. Huwezi kutetea udhibiti wa serikali kwenye 'newsroom' ukajiita mtetezi wa uhuru wa habari. Hiyo asali wanayolamba ndiyo inayowafunga midomo na kuwapofusha wasione panga linaloning'inia kwenye shingo za waandishi. Safi sana kwa uchambuzi huu!Akiwasilisha hoja yake kwa hisia kali, Mhariri wa Blog ya The Chanzo Khalifa alihoji jinsi makosa yanayofanywa na waandishi wa habari wanapokuwa chumba cha habari (newsroom) yanavyoweza kugeuka na kuwa biashara au uingiliaji wa serikali. Khalifa alionyesha kutokubaliana na hali hiyo na kuita mkakati huo kuwa hautendei haki taaluma ya habari na hauingii akilini.
Kwa upande wake, Balile alijaribu kutoa ufafanuzi kuhusu mfumo wa kisheria unaosimamia sekta hiyo. Alieleza historia ya sheria za habari nchini, akirejelea Sheria ya Magazeti ya mwaka 1928, maboresho ya mwaka 1976, hadi kuundwa kwa vyombo vya taaluma ya habari na Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016.
"Inakuaje mimi mwandishi wa habari ninayekuwepo newsroom, nikifanya kosa inakuwa ni biashara ya serikali? Hiyo inawezekana vipi? Hicho kitu kinaingiaje akilini ndugu zangu?
Sasa huyu hapa bwana mkubwa anasema hakuna hofu. Yaani mimi nikifanya kosa inakuwa ni biashara ya serikali kuja kurekebisha, hiyo inawezekana vipi? ... No, ni ujinga! It's crazy! Ni madness! Haziwezekani. "Balile unapotosha! Sheria ya wanasheria kuna chombo cha sheria cha wanasheria"
Jamaa anapambania kopo la asali mbichi. Mpaka nikawa najiuliza alikuja kujibu kama idara ya serikali? Au ni mwandishi tu kama wengine hapo?
Halafu nasikia kasomea Sheria, nchi nyingi Majaji wanatajwa na Rais lakini kuna jopo linalomshauri rais, na wanasahiliwa, Khalifa alitakiwa kumuuliza Chawa Balile lini Majaji wa Tanzania walisailiwa kama Kenya?Nimemsikia huyo chawa analinganisha mchakato wa kuwapata majaji wa mahakama kuu na jaji mkuu wa Kenya akidai mchakato unafanana nimeshangaa pia na kujua mara ya kwanza huyu kilaza eti ni mwanasheria pia.
Na nyie wapuuzi siyo kila anayeisupport serikali amekula asali? Nyie mnaoipinga serikali ktk kila kitu mnalamba nini? Acheni udikteta kulazimisha kila mtu awaze km nyie!Akiwasilisha hoja yake kwa hisia kali, Mhariri wa Blog ya The Chanzo Khalifa alihoji jinsi makosa yanayofanywa na waandishi wa habari wanapokuwa chumba cha habari (newsroom) yanavyoweza kugeuka na kuwa biashara au uingiliaji wa serikali. Khalifa alionyesha kutokubaliana na hali hiyo na kuita mkakati huo kuwa hautendei haki taaluma ya habari na hauingii akilini.
Kwa upande wake, Balile alijaribu kutoa ufafanuzi kuhusu mfumo wa kisheria unaosimamia sekta hiyo. Alieleza historia ya sheria za habari nchini, akirejelea Sheria ya Magazeti ya mwaka 1928, maboresho ya mwaka 1976, hadi kuundwa kwa vyombo vya taaluma ya habari na Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016.
"Inakuaje mimi mwandishi wa habari ninayekuwepo newsroom, nikifanya kosa inakuwa ni biashara ya serikali? Hiyo inawezekana vipi? Hicho kitu kinaingiaje akilini ndugu zangu?
Sasa huyu hapa bwana mkubwa anasema hakuna hofu. Yaani mimi nikifanya kosa inakuwa ni biashara ya serikali kuja kurekebisha, hiyo inawezekana vipi? ... No, ni ujinga! It's crazy! Ni madness! Haziwezekani. "Balile unapotosha! Sheria ya wanasheria kuna chombo cha sheria cha wanasheria"
Jamaa anapambania kopo la asali mbichi. Mpaka nikawa najiuliza alikuja kujibu kama idara ya serikali? Au ni mwandishi tu kama wengine hapo?
Halafu nasikia kasomea Sheria, nchi nyingi Majaji wanatajwa na Rais lakini kuna jopo linalomshauri rais, na wanasahiliwa, Khalifa alitakiwa kumuuliza Chawa Balile lini Majaji wa Tanzania walisailiwa kama Kenya?
Wengine tukipiga kelele hapa kuomba mabadiliko ya Katiba kina Mwashambwa na wengine wanatuona kama wehu na zaidi watakejeli tunatumia AI kuandika. Sasa sijui hawajui kwanini wataalamu walitengeneza AIBalile ni chawa asiyejitambua , Kenya majaji wa mahakama kuu hata mahakama ya upeo wanasailiwa na kufanyiwa vetting na tukio linarushwa live watu wote waone .
Hili ni tukio la majuzi ambapo usaili wa jaji wa mahakama ya upepo lilifanyika.
Wakati kwa Tanzania tiketi ya kuwa jaji wa mahakama kuu ni kuwa kada wa CCM na kuwa tayari kufuata maelekezo ya mwenyekiti wa CCM na wasaidizi wake.
View: https://youtu.be/WyAy19GhriE?si=27EC03yY4jKjVTxN
Wengine tukipiga kelele hapa kuomba mabadiliko ya Katiba kina Mwashambwa na wengine wanatuona kama wehu na zaidi watakejeli tunatumia AI kuandika. Sasa sijui hawajui kwanini wataalamu walitengeneza AI
Sio Tu asali ila yenye sembe la Bogotaš¤Akiwasilisha hoja yake kwa hisia kali, Mhariri wa Blog ya The Chanzo Khalifa alihoji jinsi makosa yanayofanywa na waandishi wa habari wanapokuwa chumba cha habari (newsroom) yanavyoweza kugeuka na kuwa biashara au uingiliaji wa serikali. Khalifa alionyesha kutokubaliana na hali hiyo na kuita mkakati huo kuwa hautendei haki taaluma ya habari na hauingii akilini.
Kwa upande wake, Balile alijaribu kutoa ufafanuzi kuhusu mfumo wa kisheria unaosimamia sekta hiyo. Alieleza historia ya sheria za habari nchini, akirejelea Sheria ya Magazeti ya mwaka 1928, maboresho ya mwaka 1976, hadi kuundwa kwa vyombo vya taaluma ya habari na Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016.
"Inakuaje mimi mwandishi wa habari ninayekuwepo newsroom, nikifanya kosa inakuwa ni biashara ya serikali? Hiyo inawezekana vipi? Hicho kitu kinaingiaje akilini ndugu zangu?
Sasa huyu hapa bwana mkubwa anasema hakuna hofu. Yaani mimi nikifanya kosa inakuwa ni biashara ya serikali kuja kurekebisha, hiyo inawezekana vipi? ... No, ni ujinga! It's crazy! Ni madness! Haziwezekani. "Balile unapotosha! Sheria ya wanasheria kuna chombo cha sheria cha wanasheria"
Jamaa anapambania kopo la asali mbichi. Mpaka nikawa najiuliza alikuja kujibu kama idara ya serikali? Au ni mwandishi tu kama wengine hapo?
Nadhani ile Super ya Peru kiongoziSio Tu asali ila yenye sembe la Bogotaš¤
Alinde tu MGONGO maana kakubali kutumika na hatambui kama WAHUNI siyo watu wazuri ,wanaweza kumuomba MGONGO.Balile kesha kuwa chawa, atapanda chati na kuwa Chawa wa Kiunoni.
wengi sana wanatafuta hizo nafasi kuna moja kwenye radio fulani niliongea nae anasema anajitahidi sana kuwa mweledi ili apate nafasi wa usemajiUkute hapo linawaza ukuu wa mkoa au wilaya! Pumbavu kabisa. Miaka ya zamani kule vijijini wazinzi walikuwa wanapambana na chawa wa kule down kwa akina mama kwa hiyo na hili jamaa litakuwa chawa la kule down kwa muhusika!
Pascal Mayalla sema kitu..Akiwasilisha hoja yake kwa hisia kali, Mhariri wa Blog ya The Chanzo Khalifa alihoji jinsi makosa yanayofanywa na waandishi wa habari wanapokuwa chumba cha habari (newsroom) yanavyoweza kugeuka na kuwa biashara au uingiliaji wa serikali. Khalifa alionyesha kutokubaliana na hali hiyo na kuita mkakati huo kuwa hautendei haki taaluma ya habari na hauingii akilini.