Duniahadaa
JF-Expert Member
- Oct 16, 2017
- 336
- 677
Nisikuchoshe, usinichoshe. Soma mwenyewe hapa.
www.mwananchi.co.tz
Mwiba mwingine mchungu kwa wabunge wa upinzani Tanzania
Zuio la mikutano ya hadhara limeendelea kuwa mwiba kwa wabunge wa vyama vya upinzani katika majimbo kadhaa, huku wenzao wakionekana kuendesha shughuli zao bila matatizo.