Hii baridi imezidi!!!!

Hii baridi imezidi!!!!

Shishi

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2008
Posts
1,242
Reaction score
42
mmmmm.....baridi nairobi imezidi jamaniiiii. am looking for a temporary living duvet... serious pple within nairobi only need respond!!! hamjambo lakini???
 
Mi narespond kwenye hiyo, sijambo! Sh-it happenz...
 
mmmmm.....baridi nairobi imezidi jamaniiiii.xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxhamjambo lakini???

sijambo shishi 😀
 
sijambo shishi 😀

ahahaha, poa naona u dotn qualify for the fisrt part of the statement!!! wacha nikanunue duvet ya kikwlei sioni nikifanikiwa hapa JF..mmmmm yaani a gal can freeze JF ikiwa imejaa mabeste!
 
tupatie area code yako bibie..huenda ukabahatika..
 
mmmmm.....baridi nairobi imezidi jamaniiiii. am looking for a temporary living duvet... serious pple within nairobi only need respond!!! hamjambo lakini???

what's haapenin shishi......check ur PM.....
 
Haluu ukitaka kuzungumzia habari za baridi hebu niulize mimi huku jijini Mbeya kukoje. Kipimo cha baridi kinafika mpaka nyuzi 3 za centigrade. Na kuna mwaka fulani ilifika mpaka (-0.6 degree centigrade).
We acha tu!
 
poleni,, hapa nairobi ni july tu ndiyo yenye baridi basi imezidi duh!!!! winter winter hivi....leo ni 19 degs... down from 29-30, sio haba we!
is mbeya cold throught out the year?
 
mmmmm.....baridi nairobi imezidi jamaniiiii. am looking for a temporary living duvet... serious pple within nairobi only need respond!!! hamjambo lakini???

Hahaha! Shishi dont tempt me to take the evening KA flight and i assure you alot will be happening under that blanket.
 
Unaishi sehemu gani ili nikuletee aisee? Siku za mbele baridi itakua kali zaidi just FYI!
 
mmmmm.....baridi nairobi imezidi jamaniiiii. am looking for a temporary living duvet... serious pple within nairobi only need respond!!! hamjambo lakini???

Are u 4 real?????

anyway its best uwaambie hao Duvet kama wewe ni f/m ili wasijeingia kichwakichwa wakaishia kushangaa...

Njoo nkupeleke BOBMIL pale Mombasa Rd kuna Duvet za kufa mtu tena watakupa discount mtu wangu...

enjoy
 
Wapendwa, msaada kwenye tuta: Duvet maana yake nini?
 
Unaishi sehemu gani ili nikuletee aisee? Siku za mbele baridi itakua kali zaidi just FYI!

nataka leo au kesho za mbele zitajisort lol! ngoja ngoja bwana huumiza matumbo na maini nasikia!!
 
Baridi iliyopo hapa Makete mjini ni hatari kabisa, baridi ya huko NR na mbeya chamtoto tu,imebidi tubadilishe semina mpaka desemba.
 
Back
Top Bottom