Mwizi na muuaji anastahili heshima gani?Hii barua Ina kasoro kubwa sana ikiwemo hiyo.
Hapo amempa Amri "mwenyekiti" atekeleze Amri husika ,hili ni kosa la "kiufundi".
Utovu wa nidhamu alioonesha ni Kama vile amepishana kauli na bosi wake (mwenye kofia 2).
Huu ni utovu wa nidhamu uliopitiliza.
Neno sahihi "polite language" ilitakiwa "OMBI LA KUJIUZULU............"
Neno aliloanza nalo la kumpa AMRI ilitakiwa aambatanishe na kujivua kabisa uanachama ili wasikutane tena serikalini Wala chamani.
Kama ni michezo yao (drama) ya kutushika AKILI basi yupo sahihi ili apate afua zake Stahiki (baada ya kujiuzulu)
"Akili za kuambiwa changanya na zako"
Akikujibu nitagMwizi na muuaji anastahili heshima gani?
Polepole hayupo pekeyake kuna kundi kubwa la watu wazito wanakuja kuongea ukweli wote juu ya Kifo cha magufuli, subiri kuanzia mwezi August kuna sinema nyingi zinakuja.Hili la Polepole litaibua kila kidampa wa kutaka kutembea na upepo wa kujifanya wana uchungu zaidi na nchi.
Tujiandae na press conferences toka kwa wachumia tumbo wakitumia kama fursa ya kuonekana na maza kama watetezi.
Kina Jerry Murro watajifanya kuongea kwa uchungu ili kujitengenezea njia ya kutokatwa na wajumbe.
Na bila kumsahau bwana mwijakuu ππhao ndio wenye mama Yao..Hili la Polepole litaibua kila kidampa wa kutaka kutembea na upepo wa kujifanya wana uchungu zaidi na nchi.
Tujiandae na press conferences toka kwa wachumia tumbo wakitumia kama fursa ya kuonekana na maza kama watetezi.
Kina Jerry Murro watajifanya kuongea kwa uchungu ili kujitengenezea njia ya kutokatwa na wajumbe.
KabisaHakuna heshima miongoni mwa majambazi.
KabisaKwa hiyo mtu akiandika barua ya kujiuzulu kwa ujasiri na msimamo, badala ya kuomba kwa ujiko na unyenyekevu, tayari ni utovu wa nidhamu?
Hiyo siyo barua ya kutafuta kazi, ni barua ya kuondoka!
π πAkikujibu nitag