Tongo Elamu
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 2,904
- 4,408
WatapotezwaPolepole hayupo pekeyake kuna kundi kubwa la watu wazito wanakuja kuongea ukweli wote juu ya Kifo cha magufuli, subiri kuanzia mwezi August kuna sinema nyingi zinakuja.
Hao wajinga wanajifanya Wana uchungu ni watulize Kwanza makalio wasiingie vitani bila kujipanga