Hii barua Ina kasoro kubwa sana ikiwemo hiyo

Watapotezwa
 
Hapa siku za karibuni Balozi alidai viongozi wa serikali hawajibu akiwatumia msg wasap na pia wamehide last seen na blue tiki na wengine hata wakisoma msg na blue tiki ikaonesha hawamjibu wanamlia buyu kwa akawaita ni wahuni na hawafai kua viongozi wa umma. Huenda kwa hili alionesha kukosa ueledi wa kidiplomasia na hivyo alipewa warning nae akamind
 
Hahaha vijana badala kuchangamkia fursa Pole pole kaacha kazi nyie mmekomaa kupinga.
 
Na bila kumsahau bwana mwijakuu 😁😁hao ndio wenye mama Yao..

Km taifa tunasafari ndefu
Huyo atakosaje sasa. Pumbavu la taifa lililonyimwa staha na busara likapewa makalio makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…