Hii biashara imenichanganya

asante Mom basi hii biashara haina mzunguko wa faida..ina maana laki tatu nusu as faida ukigawanya siku 44 ambayo ni ndo hizo wiki 6 unakuta kwa suku ulikuwa unahangaikia faida ya 7000/- dah na kuku wanavyosumbua vile..mhhh hapana

Wiseboy, hiyo laki tatu nusu waweza kuipata kila 2 weeks kama utaweza kuweka mzunguko mzuri wa ufugaji. mfano wako hapo juu kuku 1000 nitapata faida katika ya laki8-1m nikifuata kanuni bora za ufugaji. hapo bado kuna vi faida vidogo kama kuuza mbolea.
 
Ningekuwa mimi wewe nimepata hiyo 6m/=;
ningechimba kisima pale shamba na kufanya greenhouse ya nyanya/maua na kufuga kuku wa kienyeji;
 
Ningekuwa mimi wewe nimepata hiyo 6m/=;
ningechimba kisima pale shamba na kufanya greenhouse ya nyanya/maua na kufuga kuku wa kienyeji;

Mamdenyi kuhusu green house ningependa kuonyeshwa mtu aliyefanikiwa hapa Dar ndiyo nitajiunga. Ninavyozielewa.ni mahsusi kwenye mikoa ya baridi. Marketers wa green house wanakuambia kukutengenezea ni 5 million, kuchimba kisima, pump nabmazqgazaga yote ni km 7M. Kuzika pesa yote hiyo bila kuona km Tomaso na kupata mchanganuo ni kujitafutia majanga
 
niko mkoani huku hiyo ndiyo bei general na kuku tunauza between 5-6 weeks. kwa Dar nimeona bei ni 5000 kutokana na kuwa mnawauza at 4-5weeks so hata chakula hakitumiki kingi kama anayefuga mikoani.

Thanks
 
Mi nitaifanya mkoa wa pwani,
Siyo lazima kila kitu uone kwa watu,
acha nao waone kwako kwanza;

Hiyo 7m/= hata usipofanyia greenhouse itaisha pia;
 
Wewe ogopa kufuga mi nimeshamaliza kujenga mabanda na week ijayo naaanza kufuga. Calculate risk mzee kwa nn uanze na kuku 1000 wakati unaweza kuanza na kuku 100 ukapata uzoefu kama unaogopa kuipoteza hiyo 6mil yako? Soko anza na vibanda vya chips, majirani mpaka wanunuzi wa jumla. Kama huna wanunuzi wa jumla kuku wakishakuwa tayari chinja safisha weka kwa friji anza kuuuzia watu wa chips kuanzia mtaaani kwa 5500 mpaka mahotelini. Tatizo vijana mnataka mil6 ikupe faida ya mil 6 ndani ya mwezi mmoja mbaya zaidi nidhamu ya pesa hamjifunzi
 
bajeti ya mom na muinjilisti ziko sawa wewe wamekuchanganya. Mie naifanya muda inazungusha hela haraka nalishia na kukuzia chotara.
 
Maybe, ungelifanya vizuri zaidi kama uki invest kwenye mashine ya kutotoa vifaranga. (incubator) Baada ya hapo ufuge breed nzuri ya kienyeji- kama una eneo la free roaming chicken. Nadhani soko la kienyeji chicken ni kubwa zaidi na bei ni nzuri na kama kuku watakuwa wana roam kujiangaikia kula utawafidia mlo kidogo tu na madawa. Hapo pia unaweza kujitotolea vifaranga vya broiler na layers kwa bei poa na ukapata faida kidogo yakuridhisha. Nadhani incubator ya 2m inatosha kwa kuanzia. Ila ukinunua ya mchina imekula kwako.
 

Mkuu fuga huyu:
Utaniambia!
 
Nakushauri kama mtaalam wa biashara tafuta biashara yenye kuwekeza pesa kidogo kwanza kuliko kuanza na fenda nyingi,
 
mkuuu yan imenistua sana hii bsness...lakini mbona watu wanaikimbilia eti maraa ooh nimejenga kwa broilers

waongo wakubw ana ukichunguza sana utakuta ni biashara ya kina mama,
wakijibana saba nunatkuw amtu anapata faida ya 50,000/= ila muda mwingi ni hasara na kinachowasaidia ni kuwa wanakuwa busy lakini hakuna wanachopata, kafuge mbuzi tu ndugu yangu tyena ukipata wale mapacha utafaidi sana.
 
Wewe ndo muongo mimi ni shahidi wa hilo nimefanyia kazi hili la ufugaji,
ila nikaachana nao kutokana na kwamba hawana soko la uhakika eneo nililopo nikahamia kwenye kuku wa kienyeji,
 
Wewe ndo muongo mimi ni shahidi wa hilo nimefanyia kazi hili la ufugaji,
ila nikaachana nao kutokana na kwamba hawana soko la uhakika eneo nililopo nikahamia kwenye kuku wa kienyeji,

Wa kienyeji soko lake likoje nataka nianze kuwafuga?
 

Hivi vifaranga vya mkuza vinapatikana wapi? navitafuta ila kuna dalali anasema eti ni Tshs 1,400/= naomba contact za huyo muuzaji ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…