Hii biashara inanipa stress wallah!

Na usiwasahau wale wapuuzi wanaosema nchi hii inategemea wakulima kwa 80% wkt huo huo wakiipa bajeti kiduchu kuliko maelezo huku wakisubiri Miujiza itokee.
Ndio ukweli wenyewe huu,kama inabaniwa fungu na inatoa output kubwa hivyo kuna sehemu tunakosea kuchagua kama taifa.

Tukitia nguvu zaidi kupigia kelele haya ile dhana kwamba tunataka mabadiriko kwa kumsaidia kiongozi itajipambanua.vinginevyo ndio kila mtu anaonekana hana nia njema.
 
Naunga mkono hoja kwa 100%.
 
Thanks!
 
Wewe hiyo kazi hutaweza tafuta dalali, naamini kwenye hiyo kazi kuna madalali wake. Ukimpata usimueleze hayo uliyotueleza
Madalali waliopo wanadili na ile miwa ya kawaida ya juice.hii nlonayo ni migeni kdgo machon pao,japo ina sukar kuliko iliozoeleka sokon
 
Reactions: amu
Madalali waliopo wanadili na ile miwa ya kawaida ya juice.hii nlonayo ni migeni kdgo machon pao,japo ina sukar kuliko iliozoeleka sokon
Kwa maana hiyo hapo ni ww kutengeneza awareness kwa wakamua juice kua hata hiyo miwa yako inafaa kwa juice itakuchukua muda kwa mwanzo lakini wakishaijua utakua una push mzigo kiulaini tu naamini shamba bado mzigo upo wa kutosha
 
Amina.
 
Serekali ya CCM ni noma sana!Wimbo ni serekali inayowajali wanyonge kumbe wakulima wa mazao muhimu wanapata taabu sana.Mnyonge pole sana
sasa serikali ingejuaje kama huyu jamaa ana tani 10? alienda kuripoti serikali za mitaa? alienda wilayani? asee

ni jukumu la mzalishaji kutafuta soko la mazao yake, sio serikali. serikali kazi yake ni kusimamia bei za mazao na kuziadjust pale penye uhitaji ili mnunuzi asikandamizwe na mzalishaji pia asikandamizwe

huyu mzalishaji kabla ya kukata hio miwa ilibidi atafute soko la uhakika na ikiwezekana awe na contacts za madalali wa uhakika wanaolijua soko la miwa.

tusiwe wavivu wa kufikiri sio kila kitu tunalaumu serikali.

kuna msemo unasema HOPE FOR THE BEST, BUT PREPARE FOR THE WORST.

kama mjasiriamali, inabidi uishi na huu msemo siju zote za uhai wako.
 
Hujanielewa!Maana kubwa ya comment yangu ni kwamba hii serekali huwa inajinasibu kuwa ni serekali ya viwanda lakini kumbe haijajenga viwanda vya yale mazao muhimu
 
Hujanielewa!Maana kubwa ya comment yangu ni kwamba hii serekali huwa inajinasibu kuwa ni serekali ya viwanda lakini kumbe haijajenga viwanda vya yale mazao muhimu
kuna viwanda vitano vya sukari nchini. swala linakuja palepale kwa mzalishaji kwenye kutafuta soko la mazao yake, Je amejaribu kuwasiliana na hivyo viwanda vyote hapo na akakosa soko la mazao yake? hivi vitu sio tunalaumu tu mkuu.
 
Reactions: amu
Pole sana mkuu.Vipi umewacheki mtibwa?labda wanaweza kuwa na uhitaji.Hiv Bakressa hajaanza kutengeneza juice ya miwa bado?angewasaidia sana wakulima wa miwa.Maana kilimo cha hiyo miwa ni rahisi sana ila soko lake siku zote ndiyo pasua kichwa sababu viwonder vyetu vya sukari mitaji yao ni ya kupapasa sana.nakumbuka hata Ben alikuwa analima miwa pale mtibwa.na yake ilikuwa inalipiwa yote kabla hata ya kuvunwa sababu ya influence.Ila wakulima wadogo siku zote ni kukopwa tuu na kudhurumiwa
 
kuna viwanda vitano vya sukari nchini. swala linakuja palepale kwa mzalishaji kwenye kutafuta soko la mazao yake, Je amejaribu kuwasiliana na hivyo viwanda vyote hapo na akakosa soko la mazao yake? hivi vitu sio tunalaumu tu mkuu.
Viwanda vitano nchi nzima havina uwezo wa kuhimili miwa ya wakulima nchi nzima kwa sababu viwanda hivi pia vina mashamba yake ya miwa.Mimi ninachoona hapa ni kwamba kuna sera mbovu kwa sababu kama viwanda hivi vina mashamba yake ya miwa je wakulima watauza miwa yao wapi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…