Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Wakuu habari?
Kuna watu nilikuwa nachat nao wako huko nje, wakawa wananishawishi niingie kwenye hii biashara; wao watakuwa wanachezesha akaunti, na baada ya kama siku saba kuna gawio la faida.
Kianzio cha chini kuwekeza ni dolla 200.
Sasa wakuu, nimeingiwa na hofu, je hii biashara ina uhalisia wowote?