Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Haina uhalisia wamefeli haoWakuu habari?
Kuna watu nilikuwa nachat nao wako huko nje, wakawa wananishawishi niingie kwenye hii biashara; wao watakuwa wanachezesha akaunti, na baada ya kama siku saba kuna gawio la faida.
Kianzio cha chini kuwekeza ni dolla 200.
Sasa wakuu, nimeingiwa na hofu, je hii biashara ina uhalisia wowote?
Fursa haitafuti watu, bali watu hutafuta fursa.Wakuu habari?
Kuna watu nilikuwa nachat nao wako huko nje, wakawa wananishawishi niingie kwenye hii biashara; wao watakuwa wanachezesha akaunti, na baada ya kama siku saba kuna gawio la faida.
Kianzio cha chini kuwekeza ni dolla 200.
Sasa wakuu, nimeingiwa na hofu, je hii biashara ina uhalisia wowote?
Ulishawahi kuifanya labda?Uhalisia upo, ila uhalisia huo ni huu; wewe ndio fursa ili wao wapate gawio.
Watu huwa hawatafutani kwenye hela inayoingia kwa urahisi.
Maelezo mengi mazuri na ushawishi ila mwisho ni majuto.
Biashara ya Bitcoin/crypto ni halisi kabisa,......endapo:-Wakuu habari?
Kuna watu nilikuwa nachat nao wako huko nje, wakawa wananishawishi niingie kwenye hii biashara; wao watakuwa wanachezesha akaunti, na baada ya kama siku saba kuna gawio la faida.
Kianzio cha chini kuwekeza ni dolla 200.
Sasa wakuu, nimeingiwa na hofu, je hii coinbiashara ina uhalisia wowote?