APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,715
Kuna hii biashara ya kununua vitu vilivyotumika,kwa mfano vitanda,masofa viti ndoo,milango ya aluminium, mbao, mazulia, na zingine kibao hii imekaaje, kuna waliokwisha ifanya, mtaji kiasi gani kwa kuanza, wenye uzoefu wowote naomba anijulishe