Hii bidhaa ikipatikana Tanzania itafanya mageuzi makubwa hasa kwa "RESIDENTIAL HOUSES"

Hii bidhaa ikipatikana Tanzania itafanya mageuzi makubwa hasa kwa "RESIDENTIAL HOUSES"

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
6,816
Reaction score
8,809
Ujenzi wa nyumba zetu za kuishi za watu mbalimbali zege halikwepeki ila umekua ni mtihani mkubwa sana juu ya upatikanaji wa "materials"

Atokee tajiri mmoja basi aanzishe "dry ready mix concrete" atapiga pesa kama wanavopiga watu wanaouza cement

NIMEWAPA WAZO BURE
concret mix 1.jpeg
ready_mix_concrete_1.jpg
dry mix.jpeg
mixxa 2.jpg
 
Ujenzi wa nyumba zetu za kuishi za watu mbalimbali zege halikwepeki ila umekua ni mtihani mkubwa sana juu ya upatikanaji wa "materials"

Atokee tajiri mmoja basi aanzishe "dry ready mix concrete" atapiga pesa kama wanavopiga watu wanaouza cement

NIMEWAPA WAZO BUREView attachment 3059096View attachment 3059097View attachment 3059098View attachment 3059099
Hii idea inawezekana, japo ndo ugunduzi wenyewe, Ila Nina wasiwasi na mifumo ya DUNIA inayotaka sasa ili kutunza mazingira, basi mbinu mpya za ujenzi zibuniwe hasa kukwepa matumizi mengi ya cement, kokoto au mchanga, ndo maana vyuo vingi duniani vinakuja na mbadala ya cement. Cl3,
Ila pia hii idea inapingana na RATIOS hasa design mix zinazotegemea Aina mradi, je W/C ratio hapa code zitagoma. Pia.
Kutumia cement kujenga nyumba Sio kipimo cha nyumba bora au kutumia nondo ..MIANZI NI mmea Bora Sana kukaa kama mbadala wa nondo, mfinyanz na tofar choma NI Bora kuliko tofar la cement .
IMG-20240517-WA0009.jpeg
 
Wacha tumalize maigizo;
1. Tuuze madafu ikulu
2. Jeshi livunje matofali
3. Tununue wapinzani
4. Tutekane
Nchi hii ina viongi,i vilaza sana fambaf zao
 
Hii idea inawezekana, japo ndo ugunduzi wenyewe, Ila Nina wasiwasi na mifumo ya DUNIA inayotaka sasa ili kutunza mazingira, basi mbinu mpya za ujenzi zibuniwe hasa kukwepa matumizi mengi ya cement, kokoto au mchanga, ndo maana vyuo vingi duniani vinakuja na mbadala ya cement. Cl3,
Ila pia hii idea inapingana na RATIOS hasa design mix zinazotegemea Aina mradi, je W/C ratio hapa code zitagoma. Pia.
Kutumia cement kujenga nyumba Sio kipimo cha nyumba bora au kutumia nondo ..MIANZI NI mmea Bora Sana kukaa kama mbadala wa nondo, mfinyanz na tofar choma NI Bora kuliko tofar la cement .View attachment 3059909
Mianzi kuitumia kama mbadala wa nondo itakua no ujeuri tu, inaweza kutumika lakini haiwezi kuwa mbadala sababu Ina madhaifu mengi kuliko nondo
 
Ready mix conrete Ina changamoto nyingi kuliko on site mixing. Bado on site mixing ni bora na rahisi
 
Ready mix conrete Ina changamoto nyingi kuliko on site mixing. Bado on site mixing ni bora na rahisi

Ready mix inachangamoto gani kwa residential house ambazo zinatumia grade 15 max?

BTW hii ni pre mix, Maji unaweka mwenyewe
 
Kwanini usianzishe wewe ungoje tajiri?
Mtaji unatakiwa bibi
Wachana na "name calling" za kuitana bibi sijuwi nani. Mimi siyo bibi yako, Koma.

Mtaji wa kwanza ni wewe mwenyewe, usifikiri kuna mtu atalifanyia kazi waoAndika wazo lako bila wewe kuanza. Anza japi kwa karai moja moja.

Wakati huohuo lifanyoie feasibility study, inayoonyesha linaweza kukuwa vipi. Wenye pesa zinazotafuta kazi (wawekezaji) ni wengi lakini hawawezi "kucheza kamari.". Hawawekezi kwa kukisia.
 
Back
Top Bottom