Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Hii idea inawezekana, japo ndo ugunduzi wenyewe, Ila Nina wasiwasi na mifumo ya DUNIA inayotaka sasa ili kutunza mazingira, basi mbinu mpya za ujenzi zibuniwe hasa kukwepa matumizi mengi ya cement, kokoto au mchanga, ndo maana vyuo vingi duniani vinakuja na mbadala ya cement. Cl3,Ujenzi wa nyumba zetu za kuishi za watu mbalimbali zege halikwepeki ila umekua ni mtihani mkubwa sana juu ya upatikanaji wa "materials"
Atokee tajiri mmoja basi aanzishe "dry ready mix concrete" atapiga pesa kama wanavopiga watu wanaouza cement
NIMEWAPA WAZO BUREView attachment 3059096View attachment 3059097View attachment 3059098View attachment 3059099
Yupo Toronto hukoKwanini usianzishe wewe ungoje tajiri?
Mianzi kuitumia kama mbadala wa nondo itakua no ujeuri tu, inaweza kutumika lakini haiwezi kuwa mbadala sababu Ina madhaifu mengi kuliko nondoHii idea inawezekana, japo ndo ugunduzi wenyewe, Ila Nina wasiwasi na mifumo ya DUNIA inayotaka sasa ili kutunza mazingira, basi mbinu mpya za ujenzi zibuniwe hasa kukwepa matumizi mengi ya cement, kokoto au mchanga, ndo maana vyuo vingi duniani vinakuja na mbadala ya cement. Cl3,
Ila pia hii idea inapingana na RATIOS hasa design mix zinazotegemea Aina mradi, je W/C ratio hapa code zitagoma. Pia.
Kutumia cement kujenga nyumba Sio kipimo cha nyumba bora au kutumia nondo ..MIANZI NI mmea Bora Sana kukaa kama mbadala wa nondo, mfinyanz na tofar choma NI Bora kuliko tofar la cement .View attachment 3059909
Kwanini usianzshe wewe ungoje tajiri?
Ready mix conrete Ina changamoto nyingi kuliko on site mixing. Bado on site mixing ni bora na rahisi
Wachana na "name calling" za kuitana bibi sijuwi nani. Mimi siyo bibi yako, Koma.Mtaji unatakiwa bibi