Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
ha ha ha ha...we humwibii miss neddy wewe?
acha uongo..
Bishanga alikua mtata sana huyo mwanamama/demu dah alienda wapi anyway nimeuliza asijenigeuzia kibao.
Kazeeka Kongosho na snowhite tu. Mie na BADILI TABIA tulirudisha umri nyuma. Sasa hivi nna miaka 17 ya umri na mkwe wangu Husninyo kanipiga mwaka mmoja
acha bana..nikiweka ushaidi hapa itakula kwako
nipe mda..
nitakuja na uzi wako!!