Hii bifu ilikuwa kali, Iliishia wapi?

Hii bifu ilikuwa kali, Iliishia wapi?

Mweeeeeh!!!! kiwatengu wewe ebu futa hiyo a.k.a hahah!!

Dah ila mkuu unafukunyua aiseee hadi hiyo conversation nilishaisahau kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Bishanga long time nimemmisa sana hao waliomteka sasa inatosha na wamwachie tu
 
Last edited by a moderator:
hehehe, sasa kwani nikitolea mifano nyuu yoku ni lazima niwe niliwahi kuishi kule? tanzania yetu sote bwana, acha kuninyanyapaa
ha ha ha ha...afu kuna kitu niliwahi kukuuliza mpaka leo hujajibu..

uliwahi kuishi Tandahimba manake we kila mfano
ulikuwa unaupeleka kule..
 
Back
Top Bottom