Hii bifu ilikuwa kali, Iliishia wapi?

Hii bifu ilikuwa kali, Iliishia wapi?

Aaah inaonesha ilikua tamu sana hii....hivi gazeti la udaku lilifia wapi ndugu mwandishi?
 
hivi alikuwa anapata? akirudi huku mara hii atatafuna wengi..



Mwenzio nilifunga kwa maombi.... na sasa naenda mpaka mlimani kwa maombi

Hilo pepo linalosumbua ndani ya zip ya suruali lishindwe na likakamae ikibid livunjike vunjike

Amen
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom