kama na wewe unataka hili bifu liwe kali endelea kumfuatilia mama watoto wangu
kama na wewe unataka hili bifu liwe kali endelea kumfuatilia mama watoto wangu
kwani unae mzungumzia ni nani hasa....?
kwani unae mzungumzia ni nani hasa....?
atajitokeza mwenyewe hapa
atajitokeza mwenyewe hapa
na mi natamani kumjua sana
na mi natamani kumjua sana
akijitokeza uniite
kashajitokeza ila hataki watu wajue kama ndio yeye
kashajitokeza ila hataki watu wajue kama ndio yeye
kashajitokeza ila hataki watu wajue kama ndio yeye
Heri ya mwakampya
na wewe pia mamafacebook et cyberteq yuko wapi siku hizi
Ukiona mtu anaogopa kukiri mbele za watu kuwa yeye ni wako pana kitu....yan sijui kwa nini nlipewa braza mzembe kiasi hiki
#BRAZAFORSALE
hahah mo11 sio kama wewe una mix michepuko na kaka angu ndani ya basi moja
Lakini kakako si anakaa siti ya mbele?
Aseee sjui mana skai nae hata
mbele ya kosta kuna siti mbili na ile ndogo not fair